Sitta alonga katika 'Dakika 45' ya ITV

Sitta alonga katika 'Dakika 45' ya ITV

Ona unavyo jichanganya ukahaba/ufisadi/unafiki/ulafi ni pacha sifa/tabiya nikutokuwa naaibu binadamu ataungekuwa na elimu mali za samani ukikosa aibu wewe sawa na munyama au mududu kitu kinacho fanya mtuu asifanye kosa niaibu kwakuogopa akijulikana utuwake utashuka/kuzalauliwa au kuogopa kumukosea mngu ukikosa aibu hayo yote huwezi fikiliya atakutembea mtupu unaweza jiulize unayo yatenda unaendana nayo kama sawa unaweza ukaendeleya nayo ni utupuu

Endelea ku-download akili yako ikiwa full nistue..
 
amesema richmond ni hewa hivo dowans haiwezi kuwa halali
na amesema haiwezekanai kukilipa kikundi cha magamba huo ni wizi wa waziwazi
kawachana live mzee 6 ni nouuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuma!.
 
Hivi wewe Msen@e rtz we ndo bigwa wa kutetea ufisadi humu jf, unaudhi kishezi we boya na utageuzwa sana.
 
Ila leo Sitta ameongea point, huyu mzee amebadilika ila bado nae anakashfa kama kutumia nyumba ya Spika wakati analipwa posho ya nyumba nae ajisafishe kwanza.
 
Aagh achana na hizo longolongo za mara Dowans mara sita. TUUPIGIE MLIMA KILIMANJARO KURA UINGIE KWENYE NEW 7 WONDERS OF THE WORLD. WWW.N7W
 
Ila leo Sitta ameongea point, huyu mzee amebadilika ila bado nae anakashfa kama kutumia nyumba ya Spika wakati analipwa posho ya nyumba nae ajisafishe kwanza.

Mbona ueleweki!
 
Sitta aweza kuwa mzalendo lakini kwanini uzalendo wake uko kwenye Dowans tu na si kwingine mfano Meremeta; EPA; Deep green etc huko yeye hagusi ila kwenye Dowans tu kwanini? Napata picha anacholilia ni kuwa hao Dowans wakilipwa average cost ya kununua urais itakuwa imepanda na yeye atafall below kwa mtaji wake wa ufisadi...

Wote hao wanajua kuwa kupata nomination kwenye chama chao ambacho wamekariri by default lazima kitoe Rais hata kama jiwe liki pita basi ili ajenda ya ufisadi fake iweze kumpitisha either yeye ama mwenzake kwenye group lao lazima kupunguza nguvu za noti zitakazo wapa incentive wale wengi (opportunist wengine) ambao kwa nguvu ya ahadi za kupewa vyeo wanaweza vumilia nakukubali ajenda feki ya ufisadi....

FYI Safari hii urais siyo by default na Fisadi yeyote wa either mawazo ama mali hatakanyaga Ikulu.... read my lips!
 
Mkuu, naona unaladhimisha habari, heading yako na thread yako vitu wiwili tofauti..

Sitta na Kikwete lao ni mmoja ndiyo maana kamteuwa kuwa waziri
 
Dk 45 ya leo?!!! Maana alikuwepo tena j3 iliyopita...
 
ni kweli kama mwenyeki wa chama ambaye ni jk nikweli upo katika kundi hilo la mafisadi
 
Nimeona Highlight ya Kipindi cha Dakika 45 cha ITV, nimeona Mzee Mnafiki Sitta akizungumza Maneno yanayoashiria kwamba Spika wa Bunge Anne Makinda aliwekwa Na Mafisadi walioamua Kubadilisha Masharti ya Uchaguzi ili Ashindwe.
 
washenzi wa Tanesco wamekata umeme nadhani ni kwa ajili ya Sitta duh CCM kweli chama uchwara siku zenu zinahesabika
 
Bado mnamuongelea Sitta ? Jamani ni kweli tumeishiwa kweli mada hapa JF hadi Sitta aje in betwee ?
 
ooh ndio maanae!nashangaa umeme ghafla umekata!hapa kuna umuhimu wa kutafuta power back up aka invertor
 
mkuu, naona unaladhimisha habari, heading yako na thread yako vitu wiwili tofauti..

Sitta na kikwete lao ni mmoja ndiyo maana kamtewa kuwa waziri

wewe cheza tu hapo sitta na kikwete sio kundi moja ili liko wazi sana
wewe ni mkenya nini?
 
Back
Top Bottom