Sitta alonga katika 'Dakika 45' ya ITV

Sitta alonga katika 'Dakika 45' ya ITV

Amekiri ccm kutopendwa na vijana na kwamba ni ngumu sana kutenganisha umaskini wa watz na ufisadi wa viongozi wa serikali.
 
katoa mfano wa Gadafi kushirikiana na watoto wake kufja mali za umma kama kutumia ndege za serikali hovyo na kwenda nazo kucheza kamali ulaya. Je haya yapo kwetu kweli - ni relevant hili nalo?
 
Kwa kukosa uspika ndiyo unaropoka!! Nenda nyumbani kafanye shughuli zingine au ondoka ccm. Mafisadi uliwakumbatia leo unalialia.
 
Hongera Waziri Sitta. Ulipokuwa spika ulifanya kazi iliyotukuka, na sasa unaendelea na kazi yako njema. Nakuombea ww na Magreth afya njema na maisha marefu. Ww ni shujaa wangu.
 
Katika kipindi cha dakika 45 kinachorushwa na ITV, Sitta kapendekeza watu kupima na kuwajibika kwa maswala ya Dowans. Anasema siku hizi watu hawawajibiki hata wakiharibu. He meant Ngeleja ingawa hakumtaja jina
 
Sitta ni mnafiki nambari one, anatafuta umaarufu na huruma ya wananchi!

Bila shaka we ndio mnafiki, Sitta ndio kiongozi pekee ndani ya CCM anaeweza kukemea ufisadi ndani ya chama chake hadharani na kwa uwazi zaidi. unafiki wake ni nini? hata kama yuko katika chama ambacho kimepoteza mvuto, nadhani tumtendee haki.
 
Hizo ni hisia zako binafsi na hazina ukweli wowote. Sijui ni lini utaacha umbea!!?
 
Mbona na yeye hasemi anavyotumia gazeti la Mwananchi, Nipashe, Majira na Dira?

tatizo la Sitta ni unafiki.Gazeti lisipomsifia anasema limenunuliwa na Mafisadi.Mbona Raia mwema linapamba kundi lake kila toleo?
 
Kinachonikera hawataji mafisadi!

CCM wenyewe walitaja kwa majina na kuwataka wavue magamba, DR wa ukweli Slaa alitaja kwa uwazi, Mzee Mengi alitaja kwa uhakika, hata CCM B waliwataja. sasa we unataka kusikia nani zaidi? Mi nitamuunga mkono yeyote anaepinga ufisadi kwa nguvu zake zote, ndio maana nawakubali CDM
 
Back
Top Bottom