FIKRA MBADALA
Senior Member
- Jun 30, 2008
- 167
- 16
mzee chizi huyu alikuwa wapi kusema yote hayo
Bado mnamuongelea Sitta ? Jamani ni kweli tumeishiwa kweli mada hapa JF hadi Sitta aje in betwee ?
Jamani leo dkk 45 ITV ccm inapasuka maana s6 ana mambo si kidogo..tuwepo sote tuone
kumbe unawajua wenye uchungu na nchi hii!Huyu sitta mimi sina imani naye sana. Yeye kama anataka aonekane ana uchungu basi aungane na kina Slaa.
jamani, kasema Jk ni fisadi no.1, walihonga hadi wabunge, bado ikashindikana, ndo walipoamua kumuengua kimtindo.
offcourseSource: dakika 45.
Kasema mafisadi ambao wako tayari kumtoa roho ndio waliobadili utaratibu wa uchaguzi wa spika.
Anasema walishindwa kushindana naye kwenye box la kura wakaamua kuweka kigezo cha jinsia.
My take: kama JK aliridhia naye ni fisadi
gazeti la tazama, tanzania daima na mwanahalisi wamenunuliwa
Kama JK hatamfuta huyu jamaa jazi mimi sitamuelewa. 6 shuyu jamaa sitta mbona simwelewi elewi!
Acha kupotosha, kamsifia JK hapa tena kasema atakijenga chama vizuri
umeona eeeeeee anaichana ccm live na anaisifia cdm kidizainiNaamini kwa hapa alipofikia siku zake ccm zinahesabika! Jamaa hawatakaa kimya tena, ila tusubiri tuone. CDM tunaanza kujiandaa na uchaguzi maana jamaa lazima wamtose.
Kikwete atajifanya kafanya maamuzi magumu.
Sitta anasema Madaktari wa Tanzania hawakujua ni nini kinamsumbua Mwakyembe ila inawezekana ni sumu..