Sitasahau: Tulitolewa nduki ukweni siku ya posa

Umekaa mda wote huo ulitaka mzee akuchekee!? Ulikosea hapo ilitakiwa kutuma kwanza watu wa kusahihisha makosa uliyofanya then ndio mambo ya ushenga na kuchumbia yafuate, hivyo ulivyofanya hata mie ningekutoa nduki.
Jamaa unaonekana bado alikuwa shule msimlaumu sana ,mimba ya ghafla bila malengo huchanganya sana ndio maana wengine huzitoa
 
Nilikuaga na mpenzi wangu tunapendana kwa kweli toka chuoni (UDSM) basi tukawa tunapiga mechi peku peku (bila kondom) eeh ghafla bidada ananiambia ana mimba kiukweli nilishtuka but anyway tukakubaliana azae tu.

Basi bibie akaja kujifungua mtoto (mimi sikujitokeza huko ukweni kabisaa)mi nawasiliana na mchuchu tu.

Sasa tukakubaliana na mchuchu ni muda muafaka wa kwenda kujitambulisha.

Nikaandaa mshenga na ndugu wa karibu kwenda huko. Duuh ile kufika tu tukamkuta baba mzaa chema kakunja sura balaa ile tunapiga hodi anatuangalia tu (hajibu chochote) ghafla akaingia chumbani akatoka na panga.

Hakuna aliyeaga si mshenga wala mimi. "BA MKWE" anadai nilimzalisha mtoto wake na sijajitokeza siku zote.

Jamani sitamsahau yule mzee.
Pole sana mkuu!! Ila hata sisi tuliwahi kumtoa nduki shemeji yetu yaani dada yetu baada ya mdingi kufariki miezi michache tuu dada akabeba mimba jamaa akalala mbele sasa sista kajifungua mtoto wa kiume tumemlea hadi kamaliza miaka 2 eti lijamaa likawatuma wazee kuja kwetu sisi tukawa wakali wale wazee wakatoweka siku lijamaa likatime hatupo likatinga mahome kuna dogo alikuja kututonya tukaenda sijui nani alimshtua dadeki tulitaka kugawana yaani huwezi amini hadi saa dkgo yupogo tju mahome wanaogopa kuja[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Shemeji naomba msamaha nahitaji kumuona mwanangu
 
We tulia tu, baada ya mitatu mpige mimba nyingine, tena utulie tu.
 
Nilikuaga na mpenzi wangu tunapendana kwa kweli toka chuoni (UDSM) basi tukawa tunapiga mechi peku peku (bila kondom) eeh ghafla bidada ananiambia ana mimba kiukweli nilishtuka but anyway tukakubaliana azae tu.

Basi bibie akaja kujifungua mtoto (mimi sikujitokeza huko ukweni kabisaa)mi nawasiliana na mchuchu tu.

Sasa tukakubaliana na mchuchu ni muda muafaka wa kwenda kujitambulisha.

Nikaandaa mshenga na ndugu wa karibu kwenda huko. Duuh ile kufika tu tukamkuta baba mzaa chema kakunja sura balaa ile tunapiga hodi anatuangalia tu (hajibu chochote) ghafla akaingia chumbani akatoka na panga.

Hakuna aliyeaga si mshenga wala mimi. "BA MKWE" anadai nilimzalisha mtoto wake na sijajitokeza siku zote.

Jamani sitamsahau yule mzee.
duh! pole sana mdau japo ulikuwa na nia njema lakini ndo hivyo..
 
Sasa ataisoma namba ndo namuachia mwanae akitaka amuoe yeye mwenyewe. Mizee mingine kichefu chefu tu. Sasa kuzalishwa anaona bonge la dhambi. Wachaga punguzeni mila na sheria za kipuuzi
Ngoja nawe ufanyiwe hivyo kwa bintiyo ndipo utakapo yajua machungu ya mzazi kwa bintiye
 
Sasa ataisoma namba ndo namuachia mwanae akitaka amuoe yeye mwenyewe. Mizee mingine kichefu chefu tu. Sasa kuzalishwa anaona bonge la dhambi. Wachaga punguzeni mila na sheria za kipuuzi
Khaaaaaa ivi ba mkwe ni mchaga kasema
 
Umekaa mda wote huo ulitaka mzee akuchekee!? Ulikosea hapo ilitakiwa kutuma kwanza watu wa kusahihisha makosa uliyofanya then ndio mambo ya ushenga na kuchumbia yafuate, hivyo ulivyofanya hata mie ningekutoa nduki.

Tatizo sis vijana wa siku hizi tunajifanya kila kitu tunajua. Madhara yake ndio kama hayo
 
Back
Top Bottom