Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,459
- 170,806
Nahisi ukaenda umepiga kimodo ukajua ba mkwe atashoboka
teh pole....
teh pole....
Sasa ataisoma namba ndo namuachia mwanae akitaka amuoe yeye mwenyewe. Mizee mingine kichefu chefu tu. Sasa kuzalishwa anaona bonge la dhambi. Wachaga punguzeni mila na sheria za kipuuzi
ha ha ha ha uuuuuupsi kwa majibu haya na kiivi bora tu baba mkwe akutoe nduki
vyasaka unakuwa na majibu kama haya umemzalisha binti wa mtu
Sasa ataisoma namba ndo namuachia mwanae akitaka amuoe yeye mwenyewe. Mizee mingine kichefu chefu tu. Sasa kuzalishwa anaona bonge la dhambi. Wachaga punguzeni mila na sheria za kipuuzi
Sasa ataisoma namba ndo namuachia mwanae akitaka amuoe yeye mwenyewe. Mizee mingine kichefu chefu tu. Sasa kuzalishwa anaona bonge la dhambi. Wachaga punguzeni mila na sheria za kipuuzi
Unakaona eeh?? halafu kinalalamika mila mila wakati kenyewe kana traits za irresponsibilities, yaani kanakaa eti mpaka anazaa, watu wanatoa pesa wanapeleka mtu hospitali,mzazi anavyotumia gharama,yaaani mambo kibao eti kimtu kinakuja kama kinaenda kusalimia wakati ndo chenye mimba pathetic! kuna watu naona kama hawajielewi.
Achaa ushenzi wewe hizo ndio taratibu zipo sehemu nyingi tu unadhani uchungu wa mwana aujuaye ni mume au mzazi? yule ni sawa na dingi yako na siku zote ukisha haribu kama hivyo ni wazazi wana kwenda kwanza kukurekebishia sio nyinyi watoto koz hata mkiwa na shida hao hao wazazi ndio mna kwenda kwao wawasaidie. na unadhani bila baraka zao hiyo ndoa itadumu? tena kwa wachagaa hahahhah chalangu utakuwa umebugi hao wazee ukienda kinyume nao lazima ikutokee puani. tafta mtu mzima mchaga mulize procedure zakuftwa akupe thn uwaze na kuwazuaSasa ataisoma namba ndo namuachia mwanae akitaka amuoe yeye mwenyewe. Mizee mingine kichefu chefu tu. Sasa kuzalishwa anaona bonge la dhambi. Wachaga punguzeni mila na sheria za kipuuzi
Nilikuaga na mpenzi wangu tunapendana kwa kweli toka chuoni (UDSM) basi tukawa tunapiga mechi peku peku (bila kondom) eeh ghafla bidada ananiambia ana mimba kiukweli nilistuka but anyway tukakubaliana azae tu. Basi bibie akaja kujifungua mtoto (mimi sikujitokeza huko ukweni kabisaa)mi nawasiliana na mchuchu tu. Sasa tukakubaliana na mchuchu ni muda muafaka wa kwenda kujitambulisha. Nikaandaa mshenga na ndugu wa karibu kwenda huko. Duuh ile kufika tu tukamkuta baba mzaa chema kakunja sura balaa ile tunapiga hodi anatuangalia tu (hajibu chochote) ghafla akaingia chumbani akatoka na panga.......Duuh hakuna aliyeaga si mshenga wala mimi. "BA MKWE" anadai nilimzalisha mtoto wake na sijajitokeza siku zote. Jamani sitamsahau yule mzee
Hahaha mimi ww huwa unanifurahisha kweli na comment zako narelate na sura yako loooLini hiyo mkuu
Sasa ataisoma namba ndo namuachia mwanae akitaka amuoe yeye mwenyewe. Mizee mingine kichefu chefu tu. Sasa kuzalishwa anaona bonge la dhambi. Wachaga punguzeni mila na sheria za kipuuzi
hahaha mm ww huwa unanifurahisha kweli na comment zako narelate na sura yako looo