Siku zinakaribia... Vipi mipango yandoa?Tumepanga kufunga ndoa na mpenzi wangu mpya (Mmachame) mwezi wa 5 mwanzoni.
Akili zako na LUGUMI zinarandana bora tu wakutoe ndukiNilikuaga na mpenzi wangu tunapendana kwa kweli toka chuoni (UDSM) basi tukawa tunapiga mechi peku peku (bila kondom) eeh ghafla bidada ananiambia ana mimba kiukweli nilishtuka but anyway tukakubaliana azae tu.
Basi bibie akaja kujifungua mtoto (mimi sikujitokeza huko ukweni kabisaa)mi nawasiliana na mchuchu tu.
Sasa tukakubaliana na mchuchu ni muda muafaka wa kwenda kujitambulisha.
Nikaandaa mshenga na ndugu wa karibu kwenda huko. Duuh ile kufika tu tukamkuta baba mzaa chema kakunja sura balaa ile tunapiga hodi anatuangalia tu (hajibu chochote) ghafla akaingia chumbani akatoka na panga.
Hakuna aliyeaga si mshenga wala mimi. "BA MKWE" anadai nilimzalisha mtoto wake na sijajitokeza siku zote.
Jamani sitamsahau yule mzee.
😀😀😀😀 leta nyingine..Kitambo hivi, niko Form Four halafu kulikuwa na madogo wawili, mmoja Form II na wa Form III... ingawaje tulipishana madarasa mara kibao tulikuwaga pamoja!
Basi bana, huyu dogo wa Form II si akaharibu na mtoto mwenzake! Baba wa msichana kaja juu anamlazimisha binti ampeleke aliyempa mimba akiwa na mzee wake!!
Mshua wa mchizi wangu ni mtata kishenzi-- full unoko utafikiri walimu wa enzi za Nyerere.
Tukapiga mahesabu tukaona akimshitua mshua lazima mchizi atumbuliwe! Tukaone isiwe taabu-- tutarekebisha wenyewe!!
Tukatoka watatu wetu kwenda kumsikiliza Ba Mkwe anasemaje!!!
Ile tumefika tukapokelewa fresh... mida kidogo mdingi akaja akiwa na majamaa fulani hivi. Tuliposalimiana, mzee ikabidi aulize alipo baba wa mshikaji!
Kama tulivyokubaliana b4, dogo ikabidi aseme mzee kasafiri lakini amekuja na uncle ake ambae ni mimi!!
Mzee mzima nikajikooza kidogo nikijiandaa kutoa speech ukweni... e bhana eh! Mzee alinikata jicho hilo!! Ikawa kama anataka kuongea; maneno hayakutoka! Kimya kimya akainuka hadi chumbani... muda kidogo tunasikia kelele za mama "kimbieni!"
Si tunashangaa shangaa hatujui what's going on, mara mzee huyu hapa na bonge la mbakora-- in fact ni gongo refu!
Kama si kuwahi kushikwa na sisi kupata upenyo, nadhani angeua mtu! Hapa nilipo nishakuwa mtu mzima lakini ushenga wa after kupigana mimba... sitaki kabisa mtu anihusishe.
Nilishawahi shuhudia tukio la kushikiwa Panga kwa rafiki Yangu. Dada yake alizalishwa na mwanaume ambaye ni wa kawaida tu. Huyo Dada alikuwa na kazi nzuri tu , japo jamaa alikuwa wa kawaida. Siku jamaa anakuja home kumuona mtoto bila hata taarifa rasmi ...mama mtu alipopata taarifa akasema huyo kijana apotee faster. Kama mzaha vile haikupita dk mama akachomoka nje na Panga , jamaa alisepa na mpaka Leo hajawahi kujileta tena.
huko kwenye red mkuu mzazi anapata shida as u know mimb zinavyosumbua,kujifungua,gharama za mtoto,n.k
akili zake na maadli aliyopewa kwao hayamtoshi...hana busara ishu kama hii ya kumzalisha binti wa watu alAfu unaenda kizembe zembe kabla hujatuma wazee wnye busara kuongea na mkwe ni kosa
hakuna mila yyote huko uchagan lla mzazi alikasirika kwa kitend cha siku zote jamaa kukaa kimya afu anajitokeza baada ya binti kuzaa afu anakuja like amefanya jambo zuri
Duuu! Ni hatari hiiKitambo hivi, niko Form Four halafu kulikuwa na madogo wawili, mmoja Form II na wa Form III... ingawaje tulipishana madarasa mara kibao tulikuwaga pamoja!
Basi bana, huyu dogo wa Form II si akaharibu na mtoto mwenzake! Baba wa msichana kaja juu anamlazimisha binti ampeleke aliyempa mimba akiwa na mzee wake!!
Mshua wa mchizi wangu ni mtata kishenzi-- full unoko utafikiri walimu wa enzi za Nyerere.
Tukapiga mahesabu tukaona akimshitua mshua lazima mchizi atumbuliwe! Tukaone isiwe taabu-- tutarekebisha wenyewe!!
Tukatoka watatu wetu kwenda kumsikiliza Ba Mkwe anasemaje!!!
Ile tumefika tukapokelewa fresh... mida kidogo mdingi akaja akiwa na majamaa fulani hivi. Tuliposalimiana, mzee ikabidi aulize alipo baba wa mshikaji!
Kama tulivyokubaliana b4, dogo ikabidi aseme mzee kasafiri lakini amekuja na uncle ake ambae ni mimi!!
Mzee mzima nikajikooza kidogo nikijiandaa kutoa speech ukweni... e bhana eh! Mzee alinikata jicho hilo!! Ikawa kama anataka kuongea; maneno hayakutoka! Kimya kimya akainuka hadi chumbani... muda kidogo tunasikia kelele za mama "kimbieni!"
Si tunashangaa shangaa hatujui what's going on, mara mzee huyu hapa na bonge la mbakora-- in fact ni gongo refu!
Kama si kuwahi kushikwa na sisi kupata upenyo, nadhani angeua mtu! Hapa nilipo nishakuwa mtu mzima lakini ushenga wa after kupigana mimba... sitaki kabisa mtu anihusishe.
khaa! We aggy; sasa unataka nilete story za kutunga ili nipate dhambi kwa Mungu! Hivi sasa najizuia kumchukiza Mungu isije Planet X ikaja kutuzoazoa huku nikiwa na lumbesa la dhambi.😀😀😀😀 leta nyingine..