Mwanakulipata
JF-Expert Member
- Jul 17, 2018
- 718
- 1,204
Nimesoma reply zako nimecheka sana[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16]Hajasema alikuwa degree level, huenda ni certificate kabisa.
Asante Sana Kiongozi kwa maelekezo sahihiBaba mkwe ni primitives sio kosa lake,
We kausha Mwache amlee tu mjukuu akikua kidogo tu ingiza mimba ingine fasta
Allāhu AkbarTakbiir
Iliishaje hii mkuuNilikuaga na mpenzi wangu tunapendana kwa kweli toka chuoni (UDSM) basi tukawa tunapiga mechi peku peku (bila kondom) eeh ghafla bidada ananiambia ana mimba
Kutoka Joshua..ok hadi Juma???Sasa ataisoma namba ndio namuachia mwanae akitaka amuoe yeye mwenyewe. Mizee mingine kichefu chefu tu. Sasa kuzalishwa anaona bonge la dhambi. Wachaga punguzeni mila na sheria za kipuuzi