Sitasahau: Tulitolewa nduki ukweni siku ya posa

Sitasahau: Tulitolewa nduki ukweni siku ya posa

Mzee yuko sahihi kabisa ,tena kama mm ungejuta ,hujachelewa bado na una nia nzuri hongera kwa hili we ni kijana mzuri unashikamana na mwenzio nyakati zote hata kwenye maisha mema yanakusubiri.
FANYA HIVI
Andika barua ikiwa addressed kutoka kwa baba yako kwenda kwa huyo mkwe na familia take kisha tafuta mzee anaeheshimiana sana na familia huyo asiwe wa kabila lao yeye apeleke barua huyo ndani iwe na mambo hata;
-kujitambulisha babako na kueleza ameambiwa na wewe mtoto ni wenu
-kuomba radhi na kueleza hakujua mapema ulimficha
-kueleza nia ya kumuoa binti na kumkomboa mtoto kwa mila zao .
-kuomba taratibu za kifanya na ruhusa ya link muende kuyajadili hayo
-kutoa shukrani kwa uvumilivu na kuahidi udugu na maelewano na kakomenti kakidini kidogo
Baada ya hapo ndo watawaeleza cha kufanya tililikeni na taratibu zao

Mkuu u bado mdogo skulaumu,ila kumuoa mwanamke sio kirahisi hivyo ni shughuli pevu sana ,hapo wao ndo watamwita binti wautambue uchumi wako ndo wapange yote mwisho wa siku hakuna anaetaka usimuoe ila kuna heshima wanatarajia
 
Mtoa mada una ndugu wa kike? yaani dadaz elewa karma is a bitch, unaweza usioe huyo Lkn ndoa utayopata Mungu atakuzawadia Watoto wote wa kike halafu wote wakafanyiwa km ulivyofanya. Heshimuni Watoto wa watu jamani.
 
Ofcoz hukufanya uungwana....at least hata unhewasiliana na familia japo hata kwa simu tu na kuwaeleza sababu za wewe kutokufika kwa wakati huo na kwamba mambo yakitulia utawatembelea......
 
Kuna pimbi m1 nayeye siku za usoni atafanya ujinga wako kitakachomkuta tuombe uzima tu
 
Tuendako waumini wa dini pendwa watapata waume kwa urahisi zaidi. Kuliko wenzao
 
Mwanangu amekua sasa natafuta shule nzuri ya Awali (pre-primary) ya kumpeleka kwa hapa Dar
 
Mzee ashukuru jamaa kujitambulisha , mzee atamuoa mwanae ? Awakaribishe jamaa aondoke na mke wake wakaanzishe familia yao . La maana msichana anampenda jamaa ? Kama ni ndio mzee hana pingamizi .
 
Sasa ataisoma namba ndo namuachia mwanae akitaka amuoe yeye mwenyewe. Mizee mingine kichefu chefu tu. Sasa kuzalishwa anaona bonge la dhambi. Wachaga punguzeni mila na sheria za kipuuzi
kwa hiyo huyo mzee amewakilisha wachaga kwa hiyo scene aliyofanya au?
 
Sasa ataisoma namba ndo namuachia mwanae akitaka amuoe yeye mwenyewe. Mizee mingine kichefu chefu tu. Sasa kuzalishwa anaona bonge la dhambi. Wachaga punguzeni mila na sheria za kipuuzi
Wewe hujamuelewa huyo Mzee kwa mujibu wa Yeye You are not man enough,a man faces his burden no matter what.N a kama hukurudi tena basi it means he was right
 
na kweli ulimzalilisha... ingekua kwetu mtoto angetambulika hana baba na jina la ubini angepewa la kwetu
 
Ilitakiwa wakati akiwa na mimba ukajitambulishe ss hakuna namna watafute wazee wenzake wenye heshima mkamuombe msamaha!!
 
Back
Top Bottom