Sitasahau: Tulitolewa nduki ukweni siku ya posa

Sitasahau: Tulitolewa nduki ukweni siku ya posa

Ulikosea bana, protokali haikufuatwa
 
Mkwe anashoboka sana sasa hv. Anadai tukamalizane ili nimkomboe mwanangu na tuanze maaandalizi ya ndoa. Nimekaza asinichukulie poa
 
Mzee kastaafu sasa ukichanganya na hali ya uchumi ilivyo awamu hii anatafuta pa kulilia shida. Wacha nimsomeshe namba na Binti yake. Wakati nafurahia maisha na kabinti ka CBE, full mauno.
 
Nilikuaga na mpenzi wangu tunapendana kwa kweli toka chuoni (UDSM) basi tukawa tunapiga mechi peku peku (bila kondom) eeh ghafla bidada ananiambia ana mimba kiukweli nilishtuka but anyway tukakubaliana azae tu.

Basi bibie akaja kujifungua mtoto (mimi sikujitokeza huko ukweni kabisaa)mi nawasiliana na mchuchu tu.

Sasa tukakubaliana na mchuchu ni muda muafaka wa kwenda kujitambulisha.

Nikaandaa mshenga na ndugu wa karibu kwenda huko. Duuh ile kufika tu tukamkuta baba mzaa chema kakunja sura balaa ile tunapiga hodi anatuangalia tu (hajibu chochote) ghafla akaingia chumbani akatoka na panga.

Hakuna aliyeaga si mshenga wala mimi. "BA MKWE" anadai nilimzalisha mtoto wake na sijajitokeza siku zote.

Jamani sitamsahau yule mzee.

[emoji1] [emoji1] [emoji1] Mkoa wa Mara nn ?
 
Back
Top Bottom