SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,813
Wazee wa kichaga ndio zao
Ni ukweli tupu wazee wengi wa kichaga huwagonga ama mabinti zai au wake za watoto wao wanaoachwaga huko kijijini (migombani) wakati vijana wao wamekuja mjini kutafuta maisha. Jihadharini waoaji uchagani, utakuta mnachangia papuchi na ba mkwe
cc.miss chagga
Sasa ataisoma namba ndo namuachia mwanae akitaka amuoe yeye mwenyewe. Mizee mingine kichefu chefu tu. Sasa kuzalishwa anaona bonge la dhambi. Wachaga punguzeni mila na sheria za kipuuzi
Nilikuaga na mpenzi wangu tunapendana kwa kweli toka chuoni (UDSM) basi tukawa tunapiga mechi peku peku (bila kondom) eeh ghafla bidada ananiambia ana mimba kiukweli nilishtuka but anyway tukakubaliana azae tu.
Basi bibie akaja kujifungua mtoto (mimi sikujitokeza huko ukweni kabisaa)mi nawasiliana na mchuchu tu.
Sasa tukakubaliana na mchuchu ni muda muafaka wa kwenda kujitambulisha.
Nikaandaa mshenga na ndugu wa karibu kwenda huko. Duuh ile kufika tu tukamkuta baba mzaa chema kakunja sura balaa ile tunapiga hodi anatuangalia tu (hajibu chochote) ghafla akaingia chumbani akatoka na panga.
Hakuna aliyeaga si mshenga wala mimi. "BA MKWE" anadai nilimzalisha mtoto wake na sijajitokeza siku zote.
Jamani sitamsahau yule mzee.
Ni ukweli tupu wazee wengi wa kichaga huwagonga ama mabinti zai au wake za watoto wao wanaoachwaga huko kijijini (migombani) wakati vijana wao wamekuja mjini kutafuta maisha. Jihadharini waoaji uchagani, utakuta mnachangia papuchi na ba mkwe
cc.miss chagga
Wazee wa kichaga ndio zao
mi ndiyo maana siku hizi nimeanza kufuga vimbwa vidogovidogo najua mpaka mabinti wakue na venyewe vitakuwa vinazeeka kuna ile kitu wanaotumia jamaa fulani ndiyo nawalisha! dah ni wakali balaa sasanikimpata mkwe kama huyu kwanza atacheza na mbwa mpaka akome, kwa kuwana yeye alinikomesha na anakuja na swaga za kihuni