Sitasahau: Tulitolewa nduki ukweni siku ya posa

Sitasahau: Tulitolewa nduki ukweni siku ya posa

Mizee mingine mikosi tu ukute huko alipo anajuta kukufukuza au huenda mzee mwenyewe aliona umemega mwanawe ambae ni mchepuko wake
 
Huyu angekuja kwetu na majigambo yake angekoma. Kwanza tunamvalisha sket na blauzi, anakaa jikoni kumpikia mzazi mwezi mzima. Muda ukiisha tunamtimua nasi mke wala mtoto, hawaoni tena maishani mwake. Hana adabu shetani mkubwa huyu.
 
Sasa ataisoma namba ndo namuachia mwanae akitaka amuoe yeye mwenyewe. Mizee mingine kichefu chefu tu. Sasa kuzalishwa anaona bonge la dhambi. Wachaga punguzeni mila na sheria za kipuuzi
ila si utani wa wazee wengi wa kichaga huwa ni mabadindu sana...
 
Daaaah mbona hilo ni balaaaa kubwa sana
 
Sasa ataisoma namba ndo namuachia mwanae akitaka amuoe yeye mwenyewe. Mizee mingine kichefu chefu tu. Sasa kuzalishwa anaona bonge la dhambi. Wachaga punguzeni mila na sheria za kipuuzi

Hapa umenifungua macho ulipotamka wachagga...
Hukufukuzwa kwa sababu ya mimba. Mzee alikupima fasta akagundua hauna viwango vya kuoa mwanawe...
Wachaga hatupendi kuoza watoto wetu kwa watu wa hivi hivi...
 
Hili nalo neno.Eti mnaozaga watoto wenu kwa watu wakojewakoje vile eenh?
 
Sasa ataisoma namba ndo namuachia mwanae akitaka amuoe yeye mwenyewe. Mizee mingine kichefu chefu tu. Sasa kuzalishwa anaona bonge la dhambi. Wachaga punguzeni mila na sheria za kipuuzi
Nimecheka mno duh! Humu hamuishi vituko, sioni hata muoaji hapa. Sema tu hukupanga kumuoa huyu binti.
 
Duuh kwa wachaga wanataka wamalizie matatizo yao kwa mkwe/wakwe we umeenda ukweni na bodaboda unatarajia nini? lazima utolewe nduki tu
 
Mkuu usije kukuta ulienda kwa yule Prof. Mosha wa Chemistry UDSM ana mabinti zake matata sana (very bright) ila mzee mnoko balaa, hachelew kukutoa na panga. Ni kauzu usipime
 
Aaah nina mpango wa kumpa mimba nyingine ndo huyo mzee wa kichaga akili zimkae vizuri
 
Tena mie ndio ningekuwa baba mkwe wako ningekuvurumsha na mapanga....

Huna ustaarabu
 
duuh hakika huyo mzee ni noma kama si mmarangu basi atakuwa mchaga wa kirua vunjo FULL MASHAUZI
 
Nilikuaga na mpenzi wangu tunapendana kwa kweli toka chuoni (UDSM) basi tukawa tunapiga mechi peku peku (bila kondom) eeh ghafla bidada ananiambia ana mimba kiukweli nilistuka but anyway tukakubaliana azae tu. Basi bibie akaja kujifungua mtoto (mimi sikujitokeza huko ukweni kabisaa)mi nawasiliana na mchuchu tu. Sasa tukakubaliana na mchuchu ni muda muafaka wa kwenda kujitambulisha. Nikaandaa mshenga na ndugu wa karibu kwenda huko. Duuh ile kufika tu tukamkuta baba mzaa chema kakunja sura balaa ile tunapiga hodi anatuangalia tu (hajibu chochote) ghafla akaingia chumbani akatoka na panga.......Duuh hakuna aliyeaga si mshenga wala mimi. "BA MKWE" anadai nilimzalisha mtoto wake na sijajitokeza siku zote. Jamani sitamsahau yule mzee

kwa uelewa wangu mdogo hata kama hujamzalisha huwezi kwenda ukweni siku ya kwanza, kwa sababu siku ya kwanza kabisa huwa anakwenda mshenga labda na wezee wawili watatu na hiyo kwa sababu umeshafanya uhalibifu, kwa hiyo wazee wanakwenda kuweka sawa mpaka mnafikia hatua ya kupeleka mahari kila kitu vinakuwa vimeshazungumzwa, sasa nakushangaa unapo niambia siku ya kwanza tu mmeenda na mahari, mimi Nina mbwa kama wanne siku hiyo ningejua nani kwenye ukoo wenu ndugu yake filbert bayi.
 
kaka huyo mtie mimba nyingine ndo ba mkwe atakupa bure kabisa bila mahari
 
Back
Top Bottom