Sitaki Ualimu, nimechoka naombeni ushauri

Tulia Sasa mkuu vuta pumzi, hapo cha kufanya kopa benki, baada ya hapo nenda Bayport kopa mpaka moja ya Tatu hakikisha kadi yako mshahara unaingia buku tano tu, baada ya hapo usiache kazi mwenyewe fanya kudoji kazini mwezi mzima bila taarifa utakuta barua ya kufukuzwa kazi juu ya Meza ya mkuu wa shule ndipo lengo lako litakuwa limetimia maana mkopo una Bima kwahiyo watajijua na mwajiri wako na Bayport itakuwa imekula kwao

Fanya biashara ya huduma za kifedha na ufugaji wa kuku kienyeji hutajuta baada ya miaka mitatu pesa yako ya mwezi utakuwa mshahara wa walimu watano wenye TGTS Wasio kuwa na madeni yoyote
Kumbe jamaa upo vizuri upstairs
 
Fanya biashara ya huduma za kifedha na ufugaji wa kuku kienyeji hutajuta baada ya miaka mitatu pesa yako ya mwezi utakuwahahara wa walimu watano wenye TGTS Wasio kuwa na madeni yoyote
Ana madeni&hakopesheki.
Sorry,bado unatamani kuwa mwanamke?😁😁
 
Aisee ualimu mateso kwa kwelii sijaelewa UTARATIBU WA KUKATWA KWA LAZIMA HELA YA CHAMA CHA WAALIMU KILA MWEZI... hivi huwa inawasaidia nini ile hela mnayokatwa ili kuwalipa VIONGOZI WENU MAMILION?? Hicho chama kinawatesaa tuu maana hata madaktari au wafamasia au manesi wana vyama ila huo utaratibu wa kihunii haupo. Poleni sana waalimu mnanyanyasika sana.
 
Hii njia niliitumia mwaka 2012 baada ya kuchoka ualimu.so nilikopa NMB,CRDB na Posta Bank..20M in total..nikaenda chuo kikuu X nikasoma Banking and finance nilipomaliza 2015 nikaajiliwa kwenye private company X hadi 2021...nikaacha now Nina migodi yangu ya dhahabu mkoa X...Maisha mazuri sana km ukithubutu...NB nimefanya story iwe fupi japo nimepitia changamoto nyingi mzito
SEMA MASHIMO SIO MIGODI
 
kwenye kila uzi uliowasema vbya walimu unechangia.

najua hukuchagua kuwa mwalimu ila kufeli form 4 kulisababisha utupwe huko.

Nataka nikuambie kuwa usikate tamaaa si mwisho wa maisha yako endelea kupambana ipo siku ualimu utauacha.
Mbona Kuna walimu wengi wana division 1 form 4
 
Aisee ualimu mateso kwa kwelii sijaelewa UTARATIBU WA KUKATWA KWA LAZIMA HELA YA CHAMA CHA WAALIMU KILA MWEZI... hivi huwa inawasaidia nini ile hela mnayokatwa ili kuwalipa VIONGOZI WENU MAMILION?? Hicho chama kinawatesaa tuu maana hata madaktari au wafamasia au manesi wana vyama ila huo utaratibu wa kihunii haupo. Poleni sana waalimu mnanyanyasika sana.
Walimu hii imekaaje???
 
Mimi ni mwalimu,ila nimejiwekeza kwenye Betting kwa sasa.Mungu anasaidia nimeiva kwenye kazi hii.Ualimu siachi mana biashara siwezi,Sporty Betty wananijua
 
Tulia Sasa mkuu vuta pumzi, hapo cha kufanya kopa benki, baada ya hapo nenda Bayport kopa mpaka moja ya Tatu hakikisha kadi yako mshahara unaingia buku tano tu, baada ya hapo usiache kazi mwenyewe fanya kudoji kazini mwezi mzima bila taarifa utakuta barua ya kufukuzwa kazi juu ya Meza ya mkuu wa shule ndipo lengo lako litakuwa limetimia maana mkopo una Bima kwahiyo watajijua na mwajiri wako na Bayport itakuwa imekula kwao

Fanya biashara ya huduma za kifedha na ufugaji wa kuku kienyeji hutajuta baada ya miaka mitatu pesa yako ya mwezi utakuwa mshahara wa walimu watano wenye TGTS Wasio kuwa na madeni yoyote
Kiufupi mwandishi wa hii post ni wewe!
Hii nina uhakika 100%.
Punguza kiki,vipi ile diploma yako umeajiriwa wapi?
 
Back
Top Bottom