Sitaki Ualimu, nimechoka naombeni ushauri

Sitaki Ualimu, nimechoka naombeni ushauri

hakuna mwalimu yeyote anayejua starehe wala mla starehe

atakulaje starehe wakati hana uhakika wa kula milo mi3
Hapo ndugu umedanganya maana Kuna walimu wana maisha mazuri ni wafugaji au Wanatokea familia zenye hela
 
Acha ualimu fanya bodaboda kwa siku unaingizi 40k hadi 50k hata mfanyakaz wa serikal hawez kuingiza pesa hiyo. Unaogopa nini acha ualimu fasta ingia kwenye bodaboda kilasiku wanaume wenzako wawe wanakubaishia kwa nyuma hadi uwe. gay kama MpwayunguLicious 🏳️‍🌈🏳️‍🌈 ambae yeye anainjoi kuwa bwabwa...
 
Hii njia niliitumia mwaka 2012 baada ya kuchoka ualimu.so nilikopa NMB,CRDB na Posta Bank..20M in total..nikaenda chuo kikuu X nikasoma Banking and finance nilipomaliza 2015 nikaajiliwa kwenye private company X hadi 2021...nikaacha now Nina migodi yangu ya dhahabu mkoa X...Maisha mazuri sana km ukithubutu...NB nimefanya story iwe fupi japo nimepitia changamoto nyingi mzito
Endeleeni kumpiga fix tu akisha jaa atarudi tena kuulizia nifanyeje ili nirudi kwenye ajira.
 
Maisha ya Two side winners and losers punguza risk

Omba uende ukasome /unawez kwend somea fani /ufundi au ujuz mwingine huko huko anzisha biashara ukimalz chuo ukaona uwez kurud kwenye ajir kbsa kopa ongeza mtaji endelea na maisha ukion vp rud kaZn na cheti utabadlishiw fani/kitengo maisha ya teendelea

Wapo walioacha kaz wakafanikiw na wapo waliacha wakakutan na majuto ila kama bado kijn na huna familia unawez ukaptia changamoto na ukafanikiwa
 
Kemea Hilo Pepo la kuacha kazi wanakujaza maujinga humu afadhari nenda kasome kitu kingine unachokipenda Kwa kificho maana masinitch huwa n hao mpo staff moja.
Nina watu kama 4 ninaowafahamu walioacha kazi Kwa mbwembwe leo hii wanatamani kurudi lkn imekuwa ngumu.
Acha km una plan B na unatoka familia well off Ili usije kulilia mbeleni huko.
 
habarini wanajamvi?

Nimekuwa nwalimu wa miaka 5 sasa katika mkoa X na shule nayofundisha kwakweli si mbaya sana ina mazingira mazuri kiasi.Lengo la kuja hapa JF ni kuomba ushauri juu ya hatma ya maisha yangu.

Najua kila mtu hajawahi kutosheka juu ya mishahara yao lakini kwa sisi walimu naona hali inazidi kuwa mbaya, Serikali inatukandamiza kwa makato ya siyo ya lazima kama kuchangia mwenge na tunalazimishwa eti mwenge ukija mkoani kwetu lazima walimu tuwepo kuupokea.

kwanini kila kitu mpka sisi walimu tushiriki aiseee, nimechoka kuona kada yangu pendwa imekuwa inadharaulika na serekali kwa kutupiwa kila kitu cha kisiasa matokea yake walimu tumekuwa watu wa mkakati kwa wanasiasa ili kufanikisha azma yao.

Natamani kuacha ualimu ila naogopa wapi ntapata chanzo kingine cha mapato,na sitaki mikopo kabisaa

Naonmbeni ushauri wa wa biashara gani ya kufanya ili niondoke kwenye ualimu

(Sitaki kufungua kijiwe cha tuisheni, walimu tumekuwa tukiona tuisheni kama ni njia pekee ya kujiajiri SITAKIII)

msaada jamani
Shawishi waalimu wenzako muingie mtaani la sivyo mtateseka sana waheshmiwa waalimu wa nchi hii.
 
Sema tu ukweli kuwa umechoka kushambuliwa na mpwayungu village ,mpenda ualimu, aliyeuokosa ualimu akaanza kuwashambulia waalimu
 
Tulia Sasa mkuu vuta pumzi, hapo cha kufanya kopa benki, baada ya hapo nenda Bayport kopa mpaka moja ya Tatu hakikisha kadi yako mshahara unaingia buku tano tu, baada ya hapo usiache kazi mwenyewe fanya kudoji kazini mwezi mzima bila taarifa utakuta barua ya kufukuzwa kazi juu ya Meza ya mkuu wa shule ndipo lengo lako litakuwa limetimia maana mkopo una Bima kwahiyo watajijua na mwajiri wako na Bayport itakuwa imekula kwao

Fanya biashara ya huduma za kifedha na ufugaji wa kuku kienyeji hutajuta baada ya miaka mitatu pesa yako ya mwezi utakuwa mshahara wa walimu watano wenye TGTS Wasio kuwa na madeni yoyote
Nisingekomenti kama nisingekuta comment yako
 
Kemea Hilo Pepo la kuacha kazi wanakujaza maujinga humu afadhari nenda kasome kitu kingine unachokipenda Kwa kificho maana masinitch huwa n hao mpo staff moja.
Nina watu kama 4 ninaowafahamu walioacha kazi Kwa mbwembwe leo hii wanatamani kurudi lkn imekuwa ngumu.
Acha km una plan B na unatoka familia well off Ili usije kulilia mbeleni huko.
Kabla mtu yoyote haja acha kazi ya ualimu kuna umuhimu kutuzama familia au ukoo wenu kuna wafanya biashara walio fanikisha au utakuwa wewe wa kwanza......hizi kazi zinaendana na nyota ya familia, ualimu ni kazi ya watu watokao familia duni na kilele cha utajiri wa ualimu ni kustaafu na kupewa 40-60m.
 
Back
Top Bottom