Sitaki Ualimu, nimechoka naombeni ushauri

habarini wanajamvi?

Nimekuwa nwalimu wa miaka 5 sasa katika mkoa X na shule nayofundisha kwakweli si mbaya sana ina mazingira mazuri kiasi.Lengo la kuja hapa JF ni kuomba ushauri juu ya hatma ya maisha yangu.

Najua kila mtu hajawahi kutosheka juu ya mishahara yao lakini kwa sisi walimu naona hali inazidi kuwa mbaya, Serikali inatukandamiza kwa makato ya siyo ya lazima kama kuchangia mwenge na tunalazimishwa eti mwenge ukija mkoani kwetu lazima walimu tuwepo kuupokea.

kwanini kila kitu mpka sisi walimu tushiriki aiseee, nimechoka kuona kada yangu pendwa imekuwa inadharaulika na serekali kwa kutupiwa kila kitu cha kisiasa matokea yake walimu tumekuwa watu wa mkakati kwa wanasiasa ili kufanikisha azma yao.

Natamani kuacha ualimu ila naogopa wapi ntapata chanzo kingine cha mapato,na sitaki mikopo kabisaa

Naonmbeni ushauri wa wa biashara gani ya kufanya ili niondoke kwenye ualimu

(Sitaki kufungua kijiwe cha tuisheni, walimu tumekuwa tukiona tuisheni kama ni njia pekee ya kujiajiri SITAKIII)

msaada jamani
Mimi sikushauri kuacha kazi ,ninachokushauri ni kuwa mvumulivu na kufanya kazi kwa malengo.
Anzisha mradi/miradi nje ya kazi yako na itakapokuwa na kukomaa kwenye mradi/miradi yako hapo baadae angalia kama kuna ulazima wa wewe kuwa involved kwa 100%.
 
Shukrani Kwa hekima zako
 
Wanafatilia siku hizi baadhi ya halmashauri huwa wanadai matokeo Kila mwisho wa semester.
Kingine mtu kafanya kazi zaidi ya miaka 10 kwenda kusoma fani nyingine then uje uanze mchakato wa recategorization huoni km n kupoteza muda na kubaki palepale.
Nililala Shule miaka mi 5 sikuwahi kuombwa chochoteee
Na huku kazini sioni watu wakiombwa chochote.

Kuhusu miaka ni kawaida, mi nilipoteza miaka mi 5 ya kusoma + mmoja wa nilikuwa kazini, NILIONA POA TU.

#YNWA
 
Tulia Sasa mkuu vuta pumzi, hapo cha kufanya kopa benki, baada ya hapo nenda Bayport kopa mpaka moja ya Tatu hakikisha kadi yako mshahara unaingia buku tano tu, baada ya hapo usiache kazi mwenyewe fanya kudoji kazini mwezi mzima bila taarifa utakuta barua ya kufukuzwa kazi juu ya Meza ya mkuu wa shule ndipo lengo lako litakuwa limetimia maana mkopo una Bima kwahiyo watajijua na mwajiri wako na Bayport itakuwa imekula kwao

Fanya biashara ya huduma za kifedha na ufugaji wa kuku kienyeji hutajuta baada ya miaka mitatu pesa yako ya mwezi utakuwa mshahara wa walimu watano wenye TGTS Wasio kuwa na madeni yoyote
Unadhani ni rahisi namna hiyo
 
Hapo kwenye kuku umempa bonge la njia la kupiga pesa.Muhimu anunue eneo japo la heka 2 hivi,kwa hao kuku wa kienyeji atapiga pesa.
 
Hii njia niliitumia mwaka 2012 baada ya kuchoka ualimu.so nilikopa NMB,CRDB na Posta Bank..20M in total..nikaenda chuo kikuu X nikasoma Banking and finance nilipomaliza 2015 nikaajiliwa kwenye private company X hadi 2021...nikaacha now Nina migodi yangu ya dhahabu mkoa X...Maisha mazuri sana km ukithubutu...NB nimefanya story iwe fupi japo nimepitia changamoto nyingi mzito
Umesema ukweli lazima apitie changamoto
 
Kazini kwetu wapo wawili.
Wa kwanza.
1. Alikopa mkopo wa Hazina mil 38
2. Akakopa mikopo umiza Mil. 5
Akasepa, sasa yupo dar ana bonge la biashara.

Wa pili.
Alikopa benki ya posta mil 25
Yupo Iringa analima parachichi na ufugaji.

Hivyo, INAWEZEKANA.

#YNWA
Tatizo lenu mnaanika mbinu za ushindi hadharani mwisho mtawasanua waajiri na mabenk huko.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
habarini wanajamvi?

Nimekuwa nwalimu wa miaka 5 sasa katika mkoa X na shule nayofundisha kwakweli si mbaya sana ina mazingira mazuri kiasi.Lengo la kuja hapa JF ni kuomba ushauri juu ya hatma ya maisha yangu.

Najua kila mtu hajawahi kutosheka juu ya mishahara yao lakini kwa sisi walimu naona hali inazidi kuwa mbaya, Serikali inatukandamiza kwa makato ya siyo ya lazima kama kuchangia mwenge na tunalazimishwa eti mwenge ukija mkoani kwetu lazima walimu tuwepo kuupokea.

kwanini kila kitu mpka sisi walimu tushiriki aiseee, nimechoka kuona kada yangu pendwa imekuwa inadharaulika na serekali kwa kutupiwa kila kitu cha kisiasa matokea yake walimu tumekuwa watu wa mkakati kwa wanasiasa ili kufanikisha azma yao.

Natamani kuacha ualimu ila naogopa wapi ntapata chanzo kingine cha mapato,na sitaki mikopo kabisaa

Naonmbeni ushauri wa wa biashara gani ya kufanya ili niondoke kwenye ualimu

(Sitaki kufungua kijiwe cha tuisheni, walimu tumekuwa tukiona tuisheni kama ni njia pekee ya kujiajiri SITAKIII)

msaada jamani
Uza nafsi kwa shetani.
Huko ndio vya haraka haraka.
 
Tulia Sasa mkuu vuta pumzi, hapo cha kufanya kopa benki, baada ya hapo nenda Bayport kopa mpaka moja ya Tatu hakikisha kadi yako mshahara unaingia buku tano tu, baada ya hapo usiache kazi mwenyewe fanya kudoji kazini mwezi mzima bila taarifa utakuta barua ya kufukuzwa kazi juu ya Meza ya mkuu wa shule ndipo lengo lako litakuwa limetimia maana mkopo una Bima kwahiyo watajijua na mwajiri wako na Bayport itakuwa imekula kwao

Fanya biashara ya huduma za kifedha na ufugaji wa kuku kienyeji hutajuta baada ya miaka mitatu pesa yako ya mwezi utakuwa mshahara wa walimu watano wenye TGTS Wasio kuwa na madeni yoyote
Kwa hiyo na wewe ulitumia njia hii ya mkato siyo!

Ni hatari sana kuacha kazi huku ukiwa huna maandalizi ya aina yoyote yale kwenye kujiajiri. Inahitaji uwe kwenye shughuli ya kujiajiri kwa muda mrefu, kabla ya kufikia hitimisho la kuacha kazi.

Huyu mtoa mada akiacha kazi kwa kukurupuka, na huku akiwa hajui shughuli ya kufanya baada ya kuacha kazi; ni hatari sana kwa mustakabari wa maisha yake ya baadaye.

Kama kweli ana nia ya kuacha kazi, ajipe hata miaka 2-3 ya mpito. Baada ya hapo hatapata shida mtaani.
 
Back
Top Bottom