Sitaki Ualimu, nimechoka naombeni ushauri

Sitaki Ualimu, nimechoka naombeni ushauri

Braza hebu sema kweli..
H/W Mpimbwe, Tanganyika, Momba, Ileje, Ukerewe na sehemu nyengine ndichi huko, KUNA BATA GANI LINALIWA?

Kufata tu mshahara mjini ni KASHESHE.

#YNWA
Kuwa mkweli

Yanini kwenda mjini wakati NMB mobile nimeinganisha na Halopesa

Pesa kiganjani

Tafsiri Yako ya Bata ni ipi mkuu!?
 
Kwanini usiende Shule kusoma kitu kengine japo kwa DEO aga unaenda kusoma BaED

#YNWA
Wanafatilia siku hizi baadhi ya halmashauri huwa wanadai matokeo Kila mwisho wa semester.
Kingine mtu kafanya kazi zaidi ya miaka 10 kwenda kusoma fani nyingine then uje uanze mchakato wa recategorization huoni km n kupoteza muda na kubaki palepale.
 
Back
Top Bottom