Chimbuvu
JF-Expert Member
- Jul 17, 2012
- 4,401
- 2,345
achana nao,wanachonga sana juu yako achana nao,bolingo na beti,nlingi yo Lady doctorniambie mpenz, umewaona watu na magundu yao?
Last edited by a moderator:
achana nao,wanachonga sana juu yako achana nao,bolingo na beti,nlingi yo Lady doctorniambie mpenz, umewaona watu na magundu yao?
Pamoja na kuwa sheria za dini yangu ya kikurya zinaniruhusu kuoa wananwake wengi kadri niwezavyo, lakini kwa Mamndenyi ninatangaza rasmi kuwa nimevunja uchumba wetu tuliokuwa tumeuanzisha hivi karibuni na ndoa ilishasajiliwa kwa mwenyekigoda Baba V
Nimelazimika kuchukua uamuzi huu wa kikatili dhidi ya moyo wangu kwa ajili ya kulinda undugu baina yangu na swahiba wangu Mr Rocky, ndugu yangu wa damu kabisa Slave pamoja na mzee mkuda bin mnoko Bujibuji.
Mwisho kabisa napenda kumhakikishia mama watoto wangu laazizi mwaJ kuwa awe na amani ya bwana huko aliko, atambue kuwa ndoa yetu itaendelea kudumu milele baina yangu mimi na yeye, yeye na mimi, sisi wawili peke yetu.
achana nao,wanachonga sana juu yako achana nao,bolingo na beti,nlingi yo Lady doctor
Pamoja na kuwa sheria za dini yangu ya kikurya zinaniruhusu kuoa wananwake wengi kadri niwezavyo, lakini kwa Mamndenyi ninatangaza rasmi kuwa nimevunja uchumba wetu tuliokuwa tumeuanzisha hivi karibuni na ndoa ilishasajiliwa kwa mwenyekigoda Baba V
Nimelazimika kuchukua uamuzi huu wa kikatili dhidi ya moyo wangu kwa ajili ya kulinda undugu baina yangu na swahiba wangu Mr Rocky, ndugu yangu wa damu kabisa Slave pamoja na mzee mkuda bin mnoko Bujibuji.
Mwisho kabisa napenda kumhakikishia mama watoto wangu laazizi mwaJ kuwa awe na amani ya bwana huko aliko, atambue kuwa ndoa yetu itaendelea kudumu milele baina yangu mimi na yeye, yeye na mimi, sisi wawili peke yetu.
Mmmh...! Mamndenyi nani kakuja*bia? Hebu kaoge maji ya pilipili uondoe hilo gundu
BADILI TABIA shem wangu mpenzi umeadimika sana huku kuoa na kuacha ndo fesheni imekuwaKaizer my shem yamekua haya tena????
Mwambie kuwa mwenzake hapa nilioga mchana wa saa 6 pale Azikiwe Street.
Kama anaweza,aje nimpeleke.
Pamoja na kuwa sheria za dini yangu ya kikurya zinaniruhusu kuoa wananwake wengi kadri niwezavyo, lakini kwa Mamndenyi ninatangaza rasmi kuwa nimevunja uchumba wetu tuliokuwa tumeuanzisha hivi karibuni na ndoa ilishasajiliwa kwa mwenyekigoda Baba V
Nimelazimika kuchukua uamuzi huu wa kikatili dhidi ya moyo wangu kwa ajili ya kulinda undugu baina yangu na swahiba wangu Mr Rocky, ndugu yangu wa damu kabisa Slave pamoja na mzee mkuda bin mnoko Bujibuji.
Mwisho kabisa napenda kumhakikishia mama watoto wangu laazizi mwaJ kuwa awe na amani ya bwana huko aliko, atambue kuwa ndoa yetu itaendelea kudumu milele baina yangu mimi na yeye, yeye na mimi, sisi wawili peke yetu.
Na hili jukwaa hata sishangai, Akishuka mtu anapanda mtu...looolssyaani kweli ndoa hizi balaa na magundu kibao