Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,984
Pamoja na kuwa sheria za dini yangu ya kikurya zinaniruhusu kuoa wananwake wengi kadri niwezavyo, lakini kwa Mamndenyi ninatangaza rasmi kuwa nimevunja uchumba wetu tuliokuwa tumeuanzisha hivi karibuni na ndoa ilishasajiliwa kwa mwenyekigoda Baba V
Nimelazimika kuchukua uamuzi huu wa kikatili dhidi ya moyo wangu kwa ajili ya kulinda undugu baina yangu na swahiba wangu Mr Rocky, ndugu yangu wa damu kabisa Slave pamoja na mzee mkuda bin mnoko Bujibuji.
Mwisho kabisa napenda kumhakikishia mama watoto wangu laazizi mwaJ kuwa awe na amani ya bwana huko aliko, atambue kuwa ndoa yetu itaendelea kudumu milele baina yangu mimi na yeye, yeye na mimi, sisi wawili peke yetu.

Last edited by a moderator: