Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,996
Maneno meeeeengi......mimi na Mamndenyi tumejibanza mahali tunajilia miraha!
Bua la Jana siafu kaona mavuno......mtajiju kina Mwita Maranya n the gang.
Na hili jukwaa hata sishangai, Akishuka mtu anapanda mtu...looolss
Mr Rocky mie huyo Mamndenyi ni mtoto wa shangazi yake na bibi kizaa babu yangu kwahiyo ni ndugu yangu.naweza kumwacha nikakomaa na baunsa wangu Evelyn Salt
Tupa kule mamndenyi mwanzo mzuri koma sasa na biashara zako maana huyu dada ni tajiri sana.
Mr Rocky mie huyo Mamndenyi ni mtoto wa shangazi yake na bibi kizaa babu yangu kwahiyo ni ndugu yangu.naweza kumwacha nikakomaa na baunsa wangu Evelyn Salt
Ndo habari ya CHIT CHATpanda mti kata mti... eti eh!
baunsa nawewe kama vizuri,............ tena ujue mie sikuogopi !!Baunsa mwenyewe......
vp ofisi yenu ya ukaguzi mmefungua nije tukaguane ?Rest In Peace NDOA!!!!!
vp ofisi yenu ya ukaguzi mmefungua nije tukaguane ?
Mmmh! Ndoa hizi! Bora sie wenye vidumu tu humu, maana ndoa za humu maji ya shingo
ona sasa!! mie nilitaka nafasi za mbele mbele japo niwe wa kumi.tumeshafungua tangu jana ukija wewe utakuwa wa 52
baunsa nawewe kama vizuri,............ tena ujue mie sikuogopi !!
ha ha ha ha we endelea tu, sina mood ya kupigana ujue!!!!!!!!!