Baba V
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 19,479
- 9,551
Ningeshangaa........:shock:Duuuu.No comment.
Umefanya uamuzi mzuri sana swahiba Mwita Maranya maana nilikuwa nakushangaa ujue
Maana nilisema mara hii ndugu yangu kashakuwa shemeji zima taa yaani anajua kabisa Mamndenyi alikuwa shemeji yake ila ghafla anamtaka duh ni balaa hilo
mhhh Arushaone kwa hiyo una maana kwako ndio pazuri king mswati
Mwambie kuwa mwenzake hapa nilioga mchana wa saa 6 pale Azikiwe Street.
Kama anaweza,aje nimpeleke.
okolile bhuuya msani Mwita Maranya umenusuru majanga tunge gechana bure kisa ........? Mamndenyi
kwahiyo niendelee na mpango wangu mweto?
Kama roho yake nyepesi, hatoweza kamwe.
Eh Binamu Mwita Maranya kumbe ulikuwa waoa bila kuntaarifu? Makubwa!! Mamndenyi hebu nikuone wifi binamu tutengeneze sharia.
Mwita Maranya sasa unataka kumtia ugonjwa wa moyo rafiki yangu Mamndenyi......
juzi tu Mr Rocky kammwaga, leo wewe, kulikoni?
natafakari huu ujumbe.....Yani binamu yangu MwanajamiiOne inabidi unipe ople kwanza hayo ya ndoa ya kimya kimya tutayazungumza siku nyingine. Kuna kigagula mmoja yuko jirani yangu hapa karibia anigeuze punda kisa Mamndenyi kanipenda ghafla wakati yeye huu ni mwaka wa tano anatongoza bila mafanikio!
wyf wangu huyooooo