Video hii inaonesha mtu akichapwa fimbo huku akiambiwa "Hapa si bara" sababu za kuchapwa eti ni kwa kuwa amekula mchana chakula wakati wa Ramadhani.
Hivi Zanzibar, mnawachukuliaje watu wa bara? Ni watu baki au ni watu wasio na haki ya kukaa Zanzibar? Maana hapo ni ubaguzi wa wazi, kupanda mbegu ya chuki ambayo ni hatari kwa Taifa.
Kwani mtu ukifunga, ukaendelea na mfungo wako inakuathiri nini kwa asiyefunga kula?
Siyo sawa Kitendo cha kuwachapa au kuwafanyiwa vitendo mbalimbali vibaya watu wasiofunga mwezi wa Ramadhani.
Soma pia:
1) Yanayoendelea Zanzibar tusubiri majibu ya wahanga na kuzaa Gharika
2) Zanzibar: Akutana na kipigo baada ya kuonekana akila mchana!
3) PEMBA: Achapwa Mikwaju Kula Mchana Mwezi mtukufu wa Ramadhan
4) Serikali ya Mapinduzi Zanzibar yalaani vitendo vya unyanyasaji vinavyoendelea visiwani
5) Zanzibar yapiga marufuku mambo yafuatayo katika kipindi cha mwezi wa ramadhan