Siri imefichuka.. Viongozi CHADEMA kuweni makini

Chadema imezama kwenye uhalifu, sio chama cha siasa tena

maccm bhana, it is all about chadema, na hamtalala mpaka 2015 mtakaposhuudia mkishindwa vibaya. pangeni uhuni wenu mkiwa gizani km wanga lakini mjue the hague haitawaacha huru.
nafurai muendelee kumtegemea mwigulu na nape kwan wanatusaidia kuifanya ccm ichukiwe daima. wanga wakubwa
 
Utakuwa si mzima wewe.mnapiga ngoma na kucheza wenyewe.
Swala la tindikali liko chini ya upelelezi mda mrefu sasa mnashangaa nini watuhumiwa kuanza kukamatwa?
Mnaacha kushangaa kwanini babu aliwatuma na kuwafadhiri kwa malipo ya pesa wamwagia tindikali na kisha baada ya tukio akawaombea hifadhi Mwanza.
Kisha kuwaterekeza baada ya wale vijana kuanza kumdai babu malipo yaliyokuwa yamesalia.Tena kwa sms.
Haya ndiyo mnayopaswa kushangaa inakuweje mtu aliyewahi kuwa padre anadiriki kuwa na roho mbaya kiasi hiki.

You need a man....seriously.
 
Shonza hata akinipa na hela sili..! Zamani ilikuwa hivi ( ) sasa hivi ( ) mpaka exhaust ...!
 
Umemaliza kuomboleza kifo cha ndugu yako au ndo kwa vile mliua wenyewe. Sawa na kukumkula mayai yake! Chadema msipokuwa makini mtajimaliza wenyewe na hizo siasa zenu za maji taka

Nikikuambia wewe ni mpumbavu nitakuwa sijakutukana.
 
Shonza hata akinipa na hela sili..! Zamani ilikuwa hivi ( ) sasa hivi ( .......... ) mpaka exhaust ...!
 
Mods plz usiunganishe hii. Taarifa nilizozipata hivi punde kutoka wizara ya mambo ya ndani ni kuwa, baada ya kuona mambo yanakwenda vibaya na kuumbuka kwa serikali kunakaribia juu ya ushahidi wa KWELI alionao Mbowe na Lema wa mauaji yaliyofanywa na POLISI pale Arusha ambayo inaanza kuaminika ni matokeo ya kikao cha Dodoma mwishon mwa mwez wa 5 kati ya Mngullu, Chagonja, Mwigulu Nchemba na Isihaka. Serikali imebuni mbinu mpya haraka sana KUPOTEZEA ushahidi huo au kuzuia usitoke kabisa. Mbinu hyo ilianza juz kwa kuifufua kesi ya tindikali Igunga haraka sana na kumkamata Henry Kileo wa Chadema ili ipelekee kukamatwa kwa viongozi wa Chadema hasa Mbowe, Lema, Lissu na Dr Slaa. Ufanikishaji wa kukamatwa kwa viongoz hawa kutafanya wawe bize mno na kusahau mambo ya mikanda ya ushahidi kwa kuwa watakuwa ndani na pia wananch watasahau na hata Media zitasahau. Vijana wanne kutoka Dsm wanapelekwa airport kwenda Tabora kama mashahidi wa kutengeneza, Hery Kileo wa CDM ashapelekwa Tabora jana kwa helkopta ya polisi.

Kwani Hery Kileo hakufanya? Biblia inasema ukiua kwa upanga nawe utauawa kwa upanga hivyo Kileo anavuna alichokipanda. Na ushahidi upo tena usionamashaka. CDM karibia viongozi wengi ni Magaidi isipokuwa Zitto.
 
Shonza hata akinipa na hela sili..! Zamani ilikuwa hivi ( ) sasa hivi ( .......... ) mpaka exhaust ...!

Njoo nikupe hela maana mtoto wa kiume umezoea kupewa hela Kama mbunge wenu Yule shoga. Yaani baada ya kufanya kazi unaombaomba aibu mtoto wa kiume. Njoo na KY nikupe hela mtoto Mzuri wee si unapenda hela sana.
 
Nawe unaamini kabisa kuwa watakuwa bize sn hadi washindwe kuutoa, kwani cdm c ni taasisi, hakuna mwingine wa kuutoa, after all namuamini zaidi Mnyika kuhandle hilo suala, kwanza kwa upeo, umakini na ni mwenezi wa chama
 
Viongozi wangu wa CHADEMA imefika muda mfanye kweli, itatugharimu ila haina jinsi, ikitulia neema inakuja, fumueni kila kitu wekeni wazi, ninyi mnanguvu ya umma, inawasikiliza sana, Ndungu yangu mmoja kachangia kwakusema nendeni kwa Balozi moja mjihifadhi toeni kila udhalimu muhujuao kwa Ushahidi, baaaas Dunia itajua.

AU mtatia kitumbua mchanga lini? Basi mkishindwa yooote jiandaeni pale 2015 tu, mnatia mnamwaga mchuzi.
ikulu ileeeee, maana hawatahaminiwa tena, itakuwa penalty dk za za nyongeza
 
Duuh wametumia mpaka helcopter hatari

Na hii ni dalili kuwa kuna nguvu kubwa sana ya Serikali kwa Chadema, na ni wazi Polis wanatumika vibaya.
Ukitafakar sana mambo haya unaweza ukaanza kuamin kuwa aliyerusha Bomu Arusha ni Polisi, na Polisi makao makuu akiwemo Chagonja na Said Mwema wanamfahamu mrushaji.
 
Mods plz usiunganishe hii. Taarifa nilizozipata hivi punde kutoka wizara ya mambo ya ndani ni kuwa, baada ya kuona mambo yanakwenda vibaya na kuumbuka kwa serikali kunakaribia juu ya ushahidi wa KWELI alionao Mbowe na Lema wa mauaji yaliyofanywa na POLISI pale Arusha ambayo inaanza kuaminika ni matokeo ya kikao cha Dodoma mwishon mwa mwez wa 5 kati ya Mngullu, Chagonja, Mwigulu Nchemba na Isihaka. Serikali imebuni mbinu mpya haraka sana KUPOTEZEA ushahidi huo au kuzuia usitoke kabisa. Mbinu hyo ilianza juz kwa kuifufua kesi ya tindikali Igunga haraka sana na kumkamata Henry Kileo wa Chadema ili ipelekee kukamatwa kwa viongozi wa Chadema hasa Mbowe, Lema, Lissu na Dr Slaa. Ufanikishaji wa kukamatwa kwa viongoz hawa kutafanya wawe bize mno na kusahau mambo ya mikanda ya ushahidi kwa kuwa watakuwa ndani na pia wananch watasahau na hata Media zitasahau. Vijana wanne kutoka Dsm wanapelekwa airport kwenda Tabora kama mashahidi wa kutengeneza, Hery Kileo wa CDM ashapelekwa Tabora jana kwa helkopta ya polisi.

Taifa lisitawalike! Sera hiyo inaendelea? Hata wahalifu nao wasiguswe iwapo ni wana CHADEMA?
 
They are very uncreative! Machinations zinaitaji genius na CCM magenius walishakufa zamani au kuachana na iko chama hawapo kabisa kule.
 
Mbinu ya kizamani au mpya, Henry Kileo aipata fresh.
Pamoja na kwamba kichaa hufanya mambo mengi ya kipunguani,ni jambo moja hulifanya kama binadamu aliye timamu...!
KUCHEKA.
Hivyo sishangai kutumia picha ya kuonesha ukicheka!
Na mada zako nyingi hukuonesha ukicheka hata zinazohusu msiba!
KICHAA.
 
Mods plz usiunganishe hii. Taarifa nilizozipata hivi punde kutoka wizara ya mambo ya ndani ni kuwa, baada ya kuona mambo yanakwenda vibaya na kuumbuka kwa serikali kunakaribia juu ya ushahidi wa KWELI alionao Mbowe na Lema wa mauaji yaliyofanywa na POLISI pale Arusha ambayo inaanza kuaminika ni matokeo ya kikao cha Dodoma mwishon mwa mwez wa 5 kati ya Mngullu, Chagonja, Mwigulu Nchemba na Isihaka. Serikali imebuni mbinu mpya haraka sana KUPOTEZEA ushahidi huo au kuzuia usitoke kabisa. Mbinu hyo ilianza juz kwa kuifufua kesi ya tindikali Igunga haraka sana na kumkamata Henry Kileo wa Chadema ili ipelekee kukamatwa kwa viongozi wa Chadema hasa Mbowe, Lema, Lissu na Dr Slaa. Ufanikishaji wa kukamatwa kwa viongoz hawa kutafanya wawe bize mno na kusahau mambo ya mikanda ya ushahidi kwa kuwa watakuwa ndani na pia wananch watasahau na hata Media zitasahau. Vijana wanne kutoka Dsm wanapelekwa airport kwenda Tabora kama mashahidi wa kutengeneza, Hery Kileo wa CDM ashapelekwa Tabora jana kwa helkopta ya polisi.

kiukweli nchi imemshinda jk, hebu kubali kushindwa uwaachie wtz wengine!
 
Njoo nikupe hela maana mtoto wa kiume umezoea kupewa hela Kama mbunge wenu Yule shoga. Yaani baada ya kufanya kazi unaombaomba aibu mtoto wa kiume. Njoo na KY nikupe hela mtoto Mzuri wee si unapenda hela sana.
lazima umtetee manake umefanya au size kubwa ndio maana unatumia KY ha ha ha Savimbi
 
Back
Top Bottom