Cdm washenzi na lugha zao za matuc
Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
Tulishaambiwa kwamba kitakacho fuatia ni kuanzisha kesi ya UHAINI. Na ndio tunapo elekea huko.
Duh masalia hii ID tangu uingie nayo wewe ni kutukana chadema tuu heko waanzilishi wa JF huyu bwana kati ya ID zake hii ni ya matusi kwa chadema hiyo black berry kakununulia Ridhiwani Kikwete nini manake inonekana wamo
Taarifa nilizozipata hivi punde kutoka wizara ya mambo ya ndani ni kuwa, baada ya kuona mambo yanakwenda vibaya na kuumbuka kwa serikali kunakaribia juu ya ushahidi wa KWELI alionao Mbowe na Lema wa mauaji yaliyofanywa na POLISI pale Arusha ambayo inaanza kuaminika ni matokeo ya kikao cha Dodoma mwishon mwa mwez wa 5 kati ya Mngullu, Chagonja, Mwigulu Nchemba na Isihaka.
Serikali imebuni mbinu mpya haraka sana KUPOTEZEA ushahidi huo au kuzuia usitoke kabisa. Mbinu hyo ilianza juz kwa kuifufua kesi ya tindikali Igunga haraka sana na kumkamata Henry Kileo wa Chadema ili ipelekee kukamatwa kwa viongozi wa CHADEMA hasa Mbowe, Lema, Lissu na Dr Slaa.
Ufanikishaji wa kukamatwa kwa viongoz hawa kutafanya wawe bize mno na kusahau mambo ya mikanda ya ushahidi kwa kuwa watakuwa ndani na pia wananch watasahau na hata Media zitasahau. Vijana wanne kutoka Dsm wanapelekwa airport kwenda Tabora kama mashahidi wa kutengeneza, Hery Kileo wa CHADEMA ashapelekwa Tabora jana kwa helkopta ya polisi.
MUNGU WAKO WA MAGONJWA WALA HATUMUOGOPI.Tulianza na Mungu
Tutamaliza na Mungu tu 2015
"ehe! mungu wa ibraimu tupia ugonjwa wowote kat ya changoja, mwigulu na mgullu... ili uzalimu huu uishe kabisa, kwani wanatasema watu bure hivi tupia lolote tu kwako baya.... ameni"
Sending with barmed phone (B BAR) using jamiiforums
Chadema imezama kwenye uhalifu, sio chama cha siasa tena
Taarifa nilizozipata hivi punde kutoka wizara ya mambo ya ndani ni kuwa, baada ya kuona mambo yanakwenda vibaya na kuumbuka kwa serikali kunakaribia juu ya ushahidi wa KWELI alionao Mbowe na Lema wa mauaji yaliyofanywa na POLISI pale Arusha ambayo inaanza kuaminika ni matokeo ya kikao cha Dodoma mwishon mwa mwez wa 5 kati ya Mngullu, Chagonja, Mwigulu Nchemba na Isihaka.
Serikali imebuni mbinu mpya haraka sana KUPOTEZEA ushahidi huo au kuzuia usitoke kabisa. Mbinu hyo ilianza juz kwa kuifufua kesi ya tindikali Igunga haraka sana na kumkamata Henry Kileo wa Chadema ili ipelekee kukamatwa kwa viongozi wa CHADEMA hasa Mbowe, Lema, Lissu na Dr Slaa.
Ufanikishaji wa kukamatwa kwa viongoz hawa kutafanya wawe bize mno na kusahau mambo ya mikanda ya ushahidi kwa kuwa watakuwa ndani na pia wananch watasahau na hata Media zitasahau. Vijana wanne kutoka Dsm wanapelekwa airport kwenda Tabora kama mashahidi wa kutengeneza, Hery Kileo wa CHADEMA ashapelekwa Tabora jana kwa helkopta ya polisi.
Tulianza na Mungu
Tutamaliza na Mungu tu 2015
"ehe! mungu wa ibraimu tupia ugonjwa wowote kat ya changoja, mwigulu na mgullu... ili uzalimu huu uishe kabisa, kwani wanatasema watu bure hivi tupia lolote tu kwako baya.... ameni"
Sending with barmed phone (B BAR) using jamiiforums
pamoja na kusapot huo unyama lakin usisahau kuwa wanao tendewa unyama huo ni binadamu kama wewe tena ambao hawana hata hatia na ukae ukijua furahabyako yako leo inayo furahia unyanyasaji wa kijinsia mungu kwa imani yako anaumia kwa jambo hilo na ukae ukijua hapo ulipo hujui kesko yako
wewe ni binadamu au nyani?? Nauliza hivi kwa sababu binadamu halisi huwezi kufurahia binadamu mwezio kuteswa bila kosa! Tukikufanyia gene pool analysis bado utakuwa na gene nyingi zinazoku relate na nyani kuliko binadamu wa kawaida!!
Huyu bwana alikuwa handsome kabisa kabla bwana Henry Kilewo kwa maelekezo ya padri hajamshughulikia, siwezi kuwa na huruma na mtu mkatili anayeweza kumfanyia hivi binadamu mwenzake.
![]()
hizi propaganda mnazopandikizwa na mwigulu mnawajaza watu nchi hii ikiingia vitani damu zinazomwagika zitaulizwa kwenye mikono yenu mark my words!!