GODLOVEME
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,644
- 498
mlimuua wenyewe
dawa ni kwenda na ushahidi kama wa marandu
mlimuua wenyewe
hivi kuna raha gan unaipata kwa kuonesha jambo mlilo panga wenye kama ushahid ili muendelee kuangamza watu?ni mauaji mangapi yameratibiwa ccm ?aau hilo wewe hulioni?mwisho wa ubaya ni aibu ndugu.Maneno yako matamu ila hebu mtizame huyu kijana aliye jeruhiwa nusura ya kutolewa uhai na hao magaidi unaotaka niwaonee huruma
![]()
hivi kuna raha gan unaipata kwa kuonesha jambo mlilo panga wenye kama ushahid ili muendelee kuangamza watu?ni mauaji mangapi yameratibiwa ccm ?aau hilo wewe hulioni?mwisho wa ubaya ni aibu ndugu.
Taarifa nilizozipata hivi punde kutoka wizara ya mambo ya ndani ni kuwa, baada ya kuona mambo yanakwenda vibaya na kuumbuka kwa serikali kunakaribia juu ya ushahidi wa KWELI alionao Mbowe na Lema wa mauaji yaliyofanywa na POLISI pale Arusha ambayo inaanza kuaminika ni matokeo ya kikao cha Dodoma mwishon mwa mwez wa 5 kati ya Mngullu, Chagonja, Mwigulu Nchemba na Isihaka.
Serikali imebuni mbinu mpya haraka sana KUPOTEZEA ushahidi huo au kuzuia usitoke kabisa. Mbinu hyo ilianza juz kwa kuifufua kesi ya tindikali Igunga haraka sana na kumkamata Henry Kileo wa Chadema ili ipelekee kukamatwa kwa viongozi wa CHADEMA hasa Mbowe, Lema, Lissu na Dr Slaa.
Ufanikishaji wa kukamatwa kwa viongoz hawa kutafanya wawe bize mno na kusahau mambo ya mikanda ya ushahidi kwa kuwa watakuwa ndani na pia wananch watasahau na hata Media zitasahau. Vijana wanne kutoka Dsm wanapelekwa airport kwenda Tabora kama mashahidi wa kutengeneza, Hery Kileo wa CHADEMA ashapelekwa Tabora jana kwa helkopta ya polisi
what if chadema wataenda na ushaidi kama walivyoenda kwenye kesi ya rwekatare (having the data/detail of all previous issue from mwangosi to last incidence of Arusha )
Taarifa nilizozipata hivi punde kutoka wizara ya mambo ya ndani ni kuwa, baada ya kuona mambo yanakwenda vibaya na kuumbuka kwa serikali kunakaribia juu ya ushahidi wa KWELI alionao Mbowe na Lema wa mauaji yaliyofanywa na POLISI pale Arusha ambayo inaanza kuaminika ni matokeo ya kikao cha Dodoma mwishon mwa mwez wa 5 kati ya Mngullu, Chagonja, Mwigulu Nchemba na Isihaka.
Serikali imebuni mbinu mpya haraka sana KUPOTEZEA ushahidi huo au kuzuia usitoke kabisa. Mbinu hyo ilianza juz kwa kuifufua kesi ya tindikali Igunga haraka sana na kumkamata Henry Kileo wa Chadema ili ipelekee kukamatwa kwa viongozi wa CHADEMA hasa Mbowe, Lema, Lissu na Dr Slaa.
Ufanikishaji wa kukamatwa kwa viongoz hawa kutafanya wawe bize mno na kusahau mambo ya mikanda ya ushahidi kwa kuwa watakuwa ndani na pia wananch watasahau na hata Media zitasahau. Vijana wanne kutoka Dsm wanapelekwa airport kwenda Tabora kama mashahidi wa kutengeneza, Hery Kileo wa CHADEMA ashapelekwa Tabora jana kwa helkopta ya polisi.
yani hata ukijitoa ufahamu ukajisahaulisha kalini kila kila kinacho emdnelea unataarifa na hiyo ya arusha soon inatoka sababu naona mmekazana sana kutengeneza mbinu za kulizima swala hilo hata mngetengeneza kesi gani lakini ushahidi utatilewa tuuu! sababu kuna nakala zaidi ya 100 ,nafikiri na wewe utaipata soon inga wa nahisi lazima utakataa sababu nikawaida yenu kukimbia kivuli chenu lakini kwa mipango ya uuwaji ushahidi wooote upo tena wazi kabisa.Leteni picha za DVR na ile CCTV yenu inayo move, pan na zoom ili mthibitishe unyama huu hapa chini
![]()
Utakuwa si mzima wewe.mnapiga ngoma na kucheza wenyewe.
Swala la tindikali liko chini ya upelelezi mda mrefu sasa mnashangaa nini watuhumiwa kuanza kukamatwa?
Mnaacha kushangaa kwanini babu aliwatuma na kuwafadhiri kwa malipo ya pesa wamwagia tindikali na kisha baada ya tukio akawaombea hifadhi Mwanza.
Kisha kuwaterekeza baada ya wale vijana kuanza kumdai babu malipo yaliyokuwa yamesalia.Tena kwa sms.
Haya ndiyo mnayopaswa kushangaa inakuweje mtu aliyewahi kuwa padre anadiriki kuwa na roho mbaya kiasi hiki.