Siri imefichuka.. Viongozi CHADEMA kuweni makini

Siri imefichuka.. Viongozi CHADEMA kuweni makini

Chadema wanahangaika kujinasua kwenye uhalifu km ilivyokuwa kwa lwax
 
Chadema ni magaidi. Damu ya chacha wangwe ndo inawatafuna polepole. Mungu ataonyesha jibu kwa hk chama gaidi.kinatumia mbinu chafu kujiletea sifa na kionekane kinaonewa na serikali chini ya ccm. Ukweli matendo yenu cdm ni machafu sana
 
kila mbinu wanayofanya inawaongezea chadema umaarufu zaidi.
mwishoni watajikuta hawana la kufanya zaidi ya kuuwa na kukimbia nchi.
chadema msife moyo tuko mnyuma yenu tukiangaza kila hila mbovu ya magamba
 
Unashindwa kupabania watu 45 ili wapate mlo wakutosha,unapambania watu wachache walioshiba wale chakula cha bure jela kisa madaraka?
 
Naona hatari kubwa huko tuendako,hizi mbinu chafu wanazotumia POLICE kukandamiza CDM mwisho wake utakua wa matatizo.Nashauri Mbowe na Lema wakabidhi ushahidi walio nao kwa vyombo kimataifa na wala si kwa Kikwete wala nani.
 
CCM ni kama puto lililotoboka matundu mengi!utaziba hapa,pale upepo unatoka!utakimbilia pale huku nako upepo unatoka.kila ukiziba matundu mengine yanaongezeka na ile sauti ya upepo kutoka kwa wingi inaongezeka hadi kukuogopesha mwenye puto na mwishowe utakusanya nguvu zako ulikumbatie puto zima ili uzuie matundu yote kwa pamoja,ghafla pwaa,lapasuka puto lile kumbe ulilibana sana puto lile kuukuu badala ya kununua puto jipya!nisonge nguna yangu nile mie kama hamjanielewa kalaleni!
 
Nani alikumbia kesi ya Igunga imefufuliwa?
 
Hapa hakuna kesi. Wanapoteza muda wao tu. Ni kesi ngapi za CDM walizofungua na wamefanikiwa?
 
Nani alikumbia kesi ya Igunga imefufuliwa?

Angalau unge quote ili usionekane kuwa umetema mate baharini halafu una wauliza watu yatakuwa ya rangi gani!

Naendelea kukumbusha "Ukweli huwa una tabia ya kukawia uliko kusudiwa, lakini hauachi kufika uliko kusudiwa"

Jaza kifua chako hekima na uweke hakiba ya maneno.
 
hii nch ni ya kipuuzi sana....kama serekali ya ccm haiwezi kutekeleza demokrasia hasa ya vyama vingi, basi wafute vyama vyote...sio kuanza kuuwa raia ili kudhofisha upinzani
 
Maajabu ya Tz! Eti raisi wa marekani anapanga kuitembelea tz, mtu analipua bomu mkutano wa hadhara siku 15 kabla ya ziara, halaf mkuu wa nchi haonyeshi hata kushtuka, lazima atakuwa anajua kila kitu kuhusu hilo bomu.
 
Angalau unge quote ili usionekane kuwa umetema mate baharini halafu una wauliza watu yatakuwa ya rangi gani!

Naendelea kukumbusha "Ukweli huwa una tabia ya kukawia uliko kusudiwa, lakini hauachi kufika uliko kusudiwa"

Jaza kifua chako hekima na uweke hakiba ya maneno.

thats words of wisdom....
 
Jana nilisikia chopa ya polisi ikata anga, polisi kataeni kutumiwa someni alama za nyakati.
 
Mungu wasaidie CHADEMA ili kama kweli wanaonewa basi ukweli ujulikane. Sijawahi kuona chama ambacho kina malalamiko kila siku kama Chadema.

gamba tulia ingekuwa uhamuzi wenu mngekifuta coz kinawanyima usingizi ndo hivyo tena too late kimeshaingia kwenye mioyo ya watu
 
Mods plz usiunganishe hii. Taarifa nilizozipata hivi punde kutoka wizara ya mambo ya ndani ni kuwa, baada ya kuona mambo yanakwenda vibaya na kuumbuka kwa serikali kunakaribia juu ya ushahidi wa KWELI alionao Mbowe na Lema wa mauaji yaliyofanywa na POLISI pale Arusha ambayo inaanza kuaminika ni matokeo ya kikao cha Dodoma mwishon mwa mwez wa 5 kati ya Mngullu, Chagonja, Mwigulu Nchemba na Isihaka. Serikali imebuni mbinu mpya haraka sana KUPOTEZEA ushahidi huo au kuzuia usitoke kabisa. Mbinu hyo ilianza juz kwa kuifufua kesi ya tindikali Igunga haraka sana na kumkamata Henry Kileo wa Chadema ili ipelekee kukamatwa kwa viongozi wa Chadema hasa Mbowe, Lema, Lissu na Dr Slaa. Ufanikishaji wa kukamatwa kwa viongoz hawa kutafanya wawe bize mno na kusahau mambo ya mikanda ya ushahidi kwa kuwa watakuwa ndani na pia wananch watasahau na hata Media zitasahau. Vijana wanne kutoka Dsm wanapelekwa airport kwenda Tabora kama mashahidi wa kutengeneza, Hery Kileo wa CDM ashapelekwa Tabora jana kwa helkopta ya polisi.

uongo mtakatifu huu.
kila kitu mnasingiziwa tu, nyie ni nani mpaka muwe mnasingiziwa na kubambikiwa kila kitu.
 
Mods plz usiunganishe hii. Taarifa nilizozipata hivi punde kutoka wizara ya mambo ya ndani ni kuwa, baada ya kuona mambo yanakwenda vibaya na kuumbuka kwa serikali kunakaribia juu ya ushahidi wa KWELI alionao Mbowe na Lema wa mauaji yaliyofanywa na POLISI pale Arusha ambayo inaanza kuaminika ni matokeo ya kikao cha Dodoma mwishon mwa mwez wa 5 kati ya Mngullu, Chagonja, Mwigulu Nchemba na Isihaka. Serikali imebuni mbinu mpya haraka sana KUPOTEZEA ushahidi huo au kuzuia usitoke kabisa. Mbinu hyo ilianza juz kwa kuifufua kesi ya tindikali Igunga haraka sana na kumkamata Henry Kileo wa Chadema ili ipelekee kukamatwa kwa viongozi wa Chadema hasa Mbowe, Lema, Lissu na Dr Slaa. Ufanikishaji wa kukamatwa kwa viongoz hawa kutafanya wawe bize mno na kusahau mambo ya mikanda ya ushahidi kwa kuwa watakuwa ndani na pia wananch watasahau na hata Media zitasahau. Vijana wanne kutoka Dsm wanapelekwa airport kwenda Tabora kama mashahidi wa kutengeneza, Hery Kileo wa CDM ashapelekwa Tabora jana kwa helkopta ya polisi.

Utakuwa si mzima wewe.mnapiga ngoma na kucheza wenyewe.
Swala la tindikali liko chini ya upelelezi mda mrefu sasa mnashangaa nini watuhumiwa kuanza kukamatwa?
Mnaacha kushangaa kwanini babu aliwatuma na kuwafadhiri kwa malipo ya pesa wamwagia tindikali na kisha baada ya tukio akawaombea hifadhi Mwanza.
Kisha kuwaterekeza baada ya wale vijana kuanza kumdai babu malipo yaliyokuwa yamesalia.Tena kwa sms.
Haya ndiyo mnayopaswa kushangaa inakuweje mtu aliyewahi kuwa padre anadiriki kuwa na roho mbaya kiasi hiki.
 
pumbavu zako acha majungu kujihami na ugaidi mloufanya Igunga,pumbavu kabisa mnajihami kwa upuuzi mnaofanya shenzi kabisa

Acha kufuka kingukitano. Marangapi tumesikia hizi hujuma zikapangwa kabla na kutokea kweli? Mfano swala la kuchoma moto majengo ya CCM kipindi kile cha kampeni IGUNGA, tukaja kusikia banda la kiongozi wa CCM liliteketea kwa moto ila kikaratasi kinachohusisha CHADEMA kilibaki salama bila kuungua. Baada ya issue kukosa nguvu kwa kuiingiza CDM matatizoni, wakaamua kuimaliza kimyakimya. Mambo kama haya ni mengi, na wakiyandekeza haya a ndiyo watazidi kupoteza imani kwa wananchi.
 
Last edited by a moderator:
Kila siku mnalalamika kuwa hamna ajira wakati vipaji vya kuwa Actors na waandishi wa tamthilia mmejaliwa.

Ni bora vipaji hivi mvipeleke kule kunakohitajika nchini kuliko kuendelea kuvitumia hapa JF kwa malipo kidogo kutoka bavicha mtaa wa Togo, Kinondoni.

Sheria ni msumemo na hizi ajenda zenu za kudai kusingiziwa zitafika mwisho tu.

You Can't fight TRUTH with a LIE.
 
Chadema si Mbowe, Slaa wala Lema ni taasisi Chadema kina idara zote kuanzia kurugenzi ya mambo ya nje na wanasheria, labda wawakamate wote, kama kesi ni ya kutunga itajulikana tu lazima ushahidi na mashahidi watabanwa na kujichanganya sehemu.
 
Back
Top Bottom