Siri imefichuka.. Viongozi CHADEMA kuweni makini

Siri imefichuka.. Viongozi CHADEMA kuweni makini

Kama wanahusika Acheni wakamatwe mnahoji ili iweje mnatetea wezi ama?
 
Hata Juma Duni Haji (et al) wa CUF aliwahi kubambikiziwa hii Kesi na CCM-Zanzibar Enzi za Komandoo Salmin Amour.Mungu alivyo wa Miujiza hivi sasa Komandoo ni Kipofu na anahudumiwa Macho yake na Juma Duni Haji kama waziri wa Afya.
Ukisikia boomerang ndio hiyo
 
Mbinu ya kizamani au mpya, Henry Kileo aipata fresh.
pamoja na kusapot huo unyama lakin usisahau kuwa wanao tendewa unyama huo ni binadamu kama wewe tena ambao hawana hata hatia na ukae ukijua furahabyako yako leo inayo furahia unyanyasaji wa kijinsia mungu kwa imani yako anaumia kwa jambo hilo na ukae ukijua hapo ulipo hujui kesko yako
 
Mwigulu angalia sana, hii nchi kikinuka tu wewe wa kwanza
 
Last edited by a moderator:
Mods plz usiunganishe hii. Taarifa nilizozipata hivi punde kutoka wizara ya mambo ya ndani ni kuwa, baada ya kuona mambo yanakwenda vibaya na kuumbuka kwa serikali kunakaribia juu ya ushahidi wa KWELI alionao Mbowe na Lema wa mauaji yaliyofanywa na POLISI pale Arusha ambayo inaanza kuaminika ni matokeo ya kikao cha Dodoma mwishon mwa mwez wa 5 kati ya Mngullu, Chagonja, Mwigulu Nchemba na Isihaka. Serikali imebuni mbinu mpya haraka sana KUPOTEZEA ushahidi huo au kuzuia usitoke kabisa. Mbinu hyo ilianza juz kwa kuifufua kesi ya tindikali Igunga haraka sana na kumkamata Henry Kileo wa Chadema ili ipelekee kukamatwa kwa viongozi wa Chadema hasa Mbowe, Lema, Lissu na Dr Slaa. Ufanikishaji wa kukamatwa kwa viongoz hawa kutafanya wawe bize mno na kusahau mambo ya mikanda ya ushahidi kwa kuwa watakuwa ndani na pia wananch watasahau na hata Media zitasahau. Vijana wanne kutoka Dsm wanapelekwa airport kwenda Tabora kama mashahidi wa kutengeneza, Hery Kileo wa CDM ashapelekwa Tabora jana kwa helkopta ya polisi.

umejitekenya mwenyewe halafu unapiga kelele.
 
Utakuwa si mzima wewe.mnapiga ngoma na kucheza wenyewe.
Swala la tindikali liko chini ya upelelezi mda mrefu sasa mnashangaa nini watuhumiwa kuanza kukamatwa?
Mnaacha kushangaa kwanini babu aliwatuma na kuwafadhiri kwa malipo ya pesa wamwagia tindikali na kisha baada ya tukio akawaombea hifadhi Mwanza.
Kisha kuwaterekeza baada ya wale vijana kuanza kumdai babu malipo yaliyokuwa yamesalia.Tena kwa sms.
Haya ndiyo mnayopaswa kushangaa inakuweje mtu aliyewahi kuwa padre anadiriki kuwa na roho mbaya kiasi hiki.
Kwa hiyo unathibitisha anayosema bluetooth 3 kwamba munasuka mpango na mpenzi wako mwigulu
hembu tuelezee mtoa huduma nyeti wa mwigulu Aliyemnyofoa meno na kumhasi dr ulimboka amepatikana
Aliyemtoboa macho KIbanda kapatikana ,au aliye mwagia kubenea tindikali kapatikana ,aliyemkata shingo kwa msumeno mwenyekiti wa chadema arumeru kapatikana
dada endelea kumkumbatia mwigulu ni kazi inatosha hizo propaganda na matumizi mabaya ya dola hayamsaidii kikwete na familia yake wala katu hailiweki jeshi la polisi kwenye heshima bali linazidisha uhasama kati yake na wananchi munapanu auwigo kumbuka fedha unazopewa kuweka benki kwa sababu hamtafika mbali na dhuluma wananchi hawatakubali munaweweseka kwa sababu muna laana ya dunia
 
Kama wanahusika Acheni wakamatwe mnahoji ili iweje mnatetea wezi ama?

"wezi?" Hata kama umeolewa siyo kwamba hata nguo zako za ndani unaacha kuvaa.Unakurupuka eti "mnatetea wezi". Hoja ya wizi inaingiaje hapo?
 
I'm afraid, Kwa dalili hizi za kisiasa zinavyoonekana nchini, utasubiri sana CHADEMA kuingia madarakani zaidi ya kupewa uongozi wa mitaa, udiwani na ubunge hapa na pale nchini. Kama ni madaraka ya kufikilika kama kiongozi mmoja wa CHADEMA anavyodai na kusema nusu ya wafanyakazi wa usalama wa taifa wanalipoti kwake kama boss wao, hiyo nitakubaliana na wewe.

Unapoanza kunihukumu wakati wewe ni binadamu kama mimi, ni sawa na kuwa na akili iliyopofuka kifkra. Hata huyo mungu wako alikuonya kwenye kitabu cha Matayo 7 pale aliposema,
"Do not judge so that you will not be judged.
For by the standard you judge you will be judged, and the measure you use will be the measure you receive.
Kijana unamapepo ya kutumika hapo mwanza haswa igoma kwako hukatishi halafu unasema mutapewa atoe nani mababzazi wa CCM na usalama wa taifa umechelewa sana , wananchi hawa usiwadharau kule mtwara wana teritory pamoja na vifaru kuwa kule KIkwete hathubutu kukanyanga acha upuuzi ukadhani kura zitapigwa na mama yako milioni ishirini uliyohongwa usikugeuze mchizi Tanzania kwanza wewe
 
hivi chadema walishawah kufikirg kuwa maadui wao ni wao wenyewe. sikia, uchaguzi wa madiwani ulioahirishwa arusha, unatokana na wao chadema kuwavua madiwani wao uanachama. aliyesababisha kufukuzwa kwa madiwani hao ni mbowe na lema.lakini wajue kuwa madiwani hawa, walichaguliwa na watu mbalimbali wakiwemo wana chadema na wana ccm amba walikuwa na imani na watu hao. na baada ya kuwafukuza, wajue wapo watu ambao wamechukiz a sana na kitendo hicho. na wav hao wanaweza kutaka kulipiza kisasi kwa namna wao wanaweza. ndio maana mbowe alisema kuwa wanaotafutwa ni yeye na lema. naamini alisema hivyo kwa kujua ukweli kuwa fukuzafukuza yao watu kwenye chama kwa maslahi yao binafsi kunawatengenezea maadui wengi kuliko wao wanavyofikiria kuwa adui wa chadema ni ccm. wafanye utafiti. wa nini kinawasibu katika mikutano yao. halafu kwanini matukio ya mauwaji katika mikutano yao, inatokea kipindi ambacho bunge linaendelea? haya ni mambo ya kupangwa, kama sio chadema wenyewe basi wapo wanaoyapanga. na inawezekana pia labda ni matambiko ya baadhi ya wanasiasa. kwamba ili nyota zao ziwake basi damu imwagike. ndio maana hata huoni chembe ya huzuni kwenze nyuso zao. mungu awalaan wote wenye kuyafanya haya. awe cdm, ccm, au yeyote.

Pole wakati wa ujinga umepita kwa hiyo wangekubaliana na ujinga wa CCM kuwadhulumu ulizaliwa mchana nini
 
Mungu wasaidie CHADEMA ili kama kweli wanaonewa basi ukweli ujulikane. Sijawahi kuona chama ambacho kina malalamiko kila siku kama Chadema.

Siku zote nimekuwa na mitazamo pacha kwa muono tofatuti kidogo.Jukwa hili kusudo lake nu kupata maoni ya wadau wanaoijua siasa ili kuhabarisha umma.Hii pia inaambatana na uzoefu katika uwanja wa siasa.Kimsingi huwa hakuna utekelezaji wa menejiment ya kisiasa kulinganisha na chama tawala.Ukichukua survey kote duniani hasa nchi zinazoendelea hakuna fursa ya chama pinzani kupewa uwanja sawa.Na huo ni woga kuwa ukimwachia mpinza uwanja sawa atakutawala bila kujua.Hivyo vyama vingi tawala hutumia kina mbinu ili kudhofisha kimakusudi usitawi na uendeshaji wa shughuli za vyama hivyo.haya mapambano husaidiwa na vyombo vya dola kama usalama wa taifa, jeshi la polisi, baraza la usalam wa taifa , wakuu wa wilaya, watendaji wa kata , WDC , watendaji wa vijiji, na wakurugenzi wa halmashauri na manispaa.Wote hao vi vyombo hutumika sana kudhoofisha harakati na shughuli za vyama vya upinzani.acha kuungwa mkono na wananchi, hiyo haitoshi sababu watawala ndo wanaoshika mpini kufanya watakalo.Mfano rais ndo mwenyekiti wa ccm, je atete chadema au ccm?pia mkuu wa wia na mkoa kateuliwa na mwenyekiti wa ccm , je atetee chadema au ccm?pia IGP na DPP huteuliwa na mwenyeketi wa ccm je watetee ccm au chadema?hapo ukiuona uwanja lazima ujue wanacholalamika chadema upo ukweli wa si kutaka kuungwa mkono.
Hivyo basi tangu siasa za vyama vingi zianze hapa nvhini sijawahi kuona chama cha upinzani kikasitawi bila misukosuko.Hivyo furahia kupata ruzuku ya ccm uchambue hoja kimadhubuti na si kuwa mashabiki wa ccm kama tambwe hiza
 
mlimuua wenyewe

Pole, hivi unadhani watanzania wa leo tunadanganyika na hizi propaganda uchwara? Hata Arusha mmedai CHADEMA wamejilipua subiri digitali iwekwe hadharani mtatamani ardhi ipasuke na kuwafunika aibu zenu!
 
Kinachonishangaza Mbowe, Dr Slaa, Lema na viongozi wengine kibao wamefunguliwa kesi kibao pasipokuwa na hukumu kutolewa na badala yake mahama imekuwa ni shm ya kuwapotezea muda wapinza, yani mtu mmoja ana kesi zaidi ya kumi na ni tofauti tofauti
 
Utakuwa si mzima wewe.mnapiga ngoma na kucheza wenyewe.
Swala la tindikali liko chini ya upelelezi mda mrefu sasa mnashangaa nini watuhumiwa kuanza kukamatwa?
Mnaacha kushangaa kwanini babu aliwatuma na kuwafadhiri kwa malipo ya pesa wamwagia tindikali na kisha baada ya tukio akawaombea hifadhi Mwanza.
Kisha kuwaterekeza baada ya wale vijana kuanza kumdai babu malipo yaliyokuwa yamesalia.Tena kwa sms.
Haya ndiyo mnayopaswa kushangaa inakuweje mtu aliyewahi kuwa padre anadiriki kuwa na roho mbaya kiasi hiki.
Nakuhurumia sana. Pole.
 
Back
Top Bottom