Tumekusoma mkuu, yote hayo ni sehemu tu ya mapambano kuelekea Tanzania tuipendayo! We shall cross the bridge when we get to it; otherwise no retreat no surrender, Aluta continua
Umemaliza kuomboleza kifo cha ndugu yako au ndo kwa vile mliua wenyewe. Sawa na kukumkula mayai yake! Chadema msipokuwa makini mtajimaliza wenyewe na hizo siasa zenu za maji takaAngalau unge quote ili usionekane kuwa umetema mate baharini halafu una wauliza watu yatakuwa ya rangi gani!
Naendelea kukumbusha "Ukweli huwa una tabia ya kukawia uliko kusudiwa, lakini hauachi kufika uliko kusudiwa"
Jaza kifua chako hekima na uweke hakiba ya maneno.
I'm afraid, Kwa dalili hizi za kisiasa zinavyoonekana nchini, utasubiri sana CHADEMA kuingia madarakani zaidi ya kupewa uongozi wa mitaa, udiwani na ubunge hapa na pale nchini. Kama ni madaraka ya kufikilika kama kiongozi mmoja wa CHADEMA anavyodai na kusema nusu ya wafanyakazi wa usalama wa taifa wanalipoti kwake kama boss wao, hiyo nitakubaliana na wewe...Subiri CHADEMA itakapoingia madarakani ndipo sheria itakuwa msumeno. Mwakyembe alimkabidhi Mwema kila ushahidi - akamwachia kukamata tu. yako wapi? Kikwete akampa uwaziri tu yakaisha. Mwanahalisi walitoa ushahidi wote kuhusu Dr Ulimboka, huo msumeno uko wapi? zaidi ya kulifungia gazeti ati linachochea jeshi kuasi! aibu tupu. Haya ndiyo yanatushangaza kuwa hivi akina Mwanadiwani mnajua kuwa kuna Mungu kweli? hivi Ibilisi anawapa nini kusimama upande wake?
Kwa hiyo mnapowatukana polisi ina maana mnajitusi wenyewe? Poleni sanaWanajf nimecheka sana leo,nlipita kule lemara arusha kumpeleka mdogo wenu akasuke kwa saluni yake,ikapita difenda ya polisi,wamo kama9 ivi. Nasikia kuna mtu wanamtega,ustadhi mmoja akasema hapa picha wanazuga tu,akaanza kuwataja kwa majini...afande ni chadema,nan...ni chadema,na karibia difenda zima wamo cdm unategemea wamkamate mtu?washamwambia asepe apa wanazuga tu. Kwa haraka sikujua wanafuatilia nin ila nimecheka sana kuona raia wanasema wana amani mana difenda imejaa wajamaa wa chadema. Kumbe wajamaa pia wana uchungu na raia,sema tu wako kazin.
Akili mali dada mleta mada umesahau kuwa kesi inaendelea na wameshaanza kutajana???Mboe kama angekuwa na ushahidi angekuwa kautoa zamani sana, angeanza na Mabalozi kutaka huruma,hana lolote miliki wa Danguro (club ya usiku)huyo.
Tulia wewe kinabo.mlimuua wenyewe
Lini bana acha kujidanganya wakati chadema inakufa hivi karibuni..Subiri CHADEMA itakapoingia madarakani ndipo sheria itakuwa msumeno. Mwakyembe alimkabidhi Mwema kila ushahidi - akamwachia kukamata tu. yako wapi? Kikwete akampa uwaziri tu yakaisha. Mwanahalisi walitoa ushahidi wote kuhusu Dr Ulimboka, huo msumeno uko wapi? zaidi ya kulifungia gazeti ati linachochea jeshi kuasi! aibu tupu. Haya ndiyo yanatushangaza kuwa hivi akina Mwanadiwani mnajua kuwa kuna Mungu kweli? hivi Ibilisi anawapa nini kusimama upande wake?
Mungu wasaidie CHADEMA ili kama kweli wanaonewa basi ukweli ujulikane. Sijawahi kuona chama ambacho kina malalamiko kila siku kama Chadema.
Jela ni sehemu salama sana kama utakwenda kwasababu ya kupigania haki na utu wa binadamu mwenzako.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
watu kibao wanasuiri hilo mkuu!!si wawakamate lema, mbowe na dr ili tukinukisha...
Wanatishia nyau!
....Sijawahi ona waziri mkuu anaependa kulia kama pinda.