Sipendi wanaume wasiojua kupika

Sipendi wanaume wasiojua kupika

Kabla hamjafika kwa baba yake na malezi yake.....

Kuna ubaya gani mwanamume akijua kupika????

Atachubuka mikono?
Uanaume wake unakwisha?????

Au mwanaume hasikii njaa?

Na anapoanz kujitegemea ina maana anakuka magengebi (ni sifa???)
sio mbaya wanaume tukijua kupika lakini ni mbaya wanawake kujitamba hadharani kwamba ukija keshokutwa lazima unipikie
kinachotakiwa kama umempata fala wa kukupikia we tulia usianze tangaza maana si wote tupo hivyo
 
nilijifunza kupika wakati naanza masomo ughaibuni!, sababu kwenda resturants ilikuwa gharama sana , mpaka sasa nimezoea na enjoy sana chakula ninachopika mwenyewe kuliko cha hoteli au kwenye mgahawa..

P.S - sivuti sigara!
Hahaha.. Fit for tat, una njaro za kihustler. Big up boy.
 
hapo mwake lakini hayo matambi kwakweli nitayaunguza, wapenda boko boko weye???
Mpikie tu hata kama bokoboko....

Unajua mnapoishi wawili kuna kesho na keshokutwa.. kujua kupika ni muhimu...hata kama ni kuchemsha chemsha tu...haihitaji uwe chef
 
Kumbe Mkenya basi sina neno maana nishaishi nanyi nawajua
 
Mpikie tu hata kama bokoboko....

Unajua mnapoishi wawili kuna kesho na keshokutwa.. kujua kupika ni muhimu...hata kama ni kuchemsha chemsha tu...haihitaji uwe chef
#badili tabia, are you a male or female? Nimependa njaro zako ni manufaa.
 
Ila kupika kwa mwanaume sio dhambi tatizo awa dadazetu ukimsaidia to kupika bas ishakua shida utaambiwa ubandika ad maarage na kuongeza mkaa
 
Mpikie tu hata kama bokoboko....

Unajua mnapoishi wawili kuna kesho na keshokutwa.. kujua kupika ni muhimu...hata kama ni kuchemsha chemsha tu...haihitaji uwe chef
usijali dadaake, haya mapishi ya kibantu hayanisumbui hata kidogo, na kwasababu nipo mwenyewe huwa najipikia tu labda kama siku nimechoka sana ndo nile gengeni, otherwise not!!!
 
sio mbaya wanaume tukijua kupika lakini ni mbaya wanawake kujitamba hadharani kwamba ukija keshokutwa lazima unipikie
kinachotakiwa kama umempata fala wa kukupikia we tulia usianze tangaza maana si wote tupo hivyo
Unajua Sijaiangalia upande wa mleta mada....nimeangalia kupika kama kupika.

Ni vyema watoto wote bila kujali jinsia wakajua kupika. Maana ipo siku wataishi wenyewe au wenza wao kupata tatizo litakalohitaji huduma hiyo

(Anyway kwa mleta mada ndio chaguo lake aisee...hujui nini kinampa mshawasha kwenye mahaba....labda akiona mwenza wake anapika yeye ndio mzuka wa naniliu na gage ya mahaba inapanda........)
 
Nilikua namsaidia mpenzi wangu kupika na kufua sometimes, siku moja akanitolea nguo nifue, nilisikia hasira na kutetemeka kama nimepigwa shoti ya umeme, toka siku hiyo naishi ki mfumo dume tu
Hahahaa,naomba kuuliza kuna shida gani akikutolea..alafu ulitakiwa umwambie kama hujapenda sio kutetemeka ka umepigwa shoti utakuja kuanguka ukauke kwa mambo ya kijinga,teh
 
Hahahaa,naomba kuuliza kuna shida gani akikutolea..alafu ulitakiwa umwambie kama hujapenda sio kutetemeka ka umepigwa shoti utakuja kuanguka ukauke kwa mambo ya kijinga,teh
Kunitolea nguo nifue ni dharau, mie nimkute anafua namsaidia au namwambia kaa hapo pembeni awe ananiongelesha mie nafua naskia faraja, au akinifurahisha naingia jikoni nampikia chakula, ila ndio nijisikie mwenyewe au aniombe kinamna namna aaaa.... you know!!!!!!!!!!! Hapo inakua burudaaaaani
 
Back
Top Bottom