Sipati mchumba kwa sababu wananihisi vibaya

Sipati mchumba kwa sababu wananihisi vibaya

Sina hela ila we una tabia za kimasikini na kuendekeza njaa
nilishawai kukuomba hela? nilishawai kukulilia njaa? unanilisha by any mean? jiheshimu mkuu naishi kwa jasho langu
 
Mimi nikutakie kila la kgeri katika kutafuta na kumpata mtu sahihi
 
1ad6432b97b4b8d3ab4e6d35ad5254ba.jpg
 
Ttako lote hilo shoga acha masihara...

Ile siku umetoka out wakakutongoza kibao ukawakataa mwenyewe Tehtehteh

Seriously Story zako zinanifurahishaga sana na kufanya siku yangu
 
Back
Top Bottom