Sipati mchumba kwa sababu wananihisi vibaya

Sipati mchumba kwa sababu wananihisi vibaya

Miss unaeza ukawa sahihi ama usiwe sahihi kwa unachokiamini,,,,,na siamni kama ambacho huamua mtu ni sahihi,ok lakini kila Samson na Delilah wake na usitegemee kuvaa kimini kisha ukakutana na alie vaa suti bali utatongozwa na hao hao wavaa milegezo

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
kila anaeniona anadhani nina mtu . naambiwa msalimie shemeji na mimi nawambia poa sasa nifanyeje?
sina hata boyfriend naona hata aibu kusema sina mpenzi wala mtoto.ngoja nitafute tu huku mtandaoni .
Poke njoo inbox
 
Kuna mtu amehack akaunti yako au niwewe?

Sikutegemea kama uko single mpaka leo na nyodo zote unazotoaga hapa jf.
Am sorry mkuu
 
Ulichagua sana sasa ni zamu ndio adhabu yako

Sent from my TECNO-L8Plus using JamiiForums mobile app

Hahahaa miss natafuta anaweka bango la kutafta mchumba mwee... ww m-text pm uone atakavokulia buyu, tena utakuta ameweka uzi hivi ili atu-enjoy na kutusanifu wanaume wa mmu mic69
 
Miss natafuta Niko hapa. I'm very serious about you. Tuyajenge basi inbox dear.

Sent from my Infinix HOT 4 using JamiiForums mobile app
 
Miss natafuta Niko hapa. I'm very serious about you. Tuyajenge basi inbox dear.

Sent from my Infinix HOT 4 using JamiiForums mobile app

Mkuu usipoteze mda, kama ukitaka mwendee inbox ila kujibiwa pm ni majaaliwa, there is 98% chance hatojibu pm yako..anatuchora tu hapa Hubby material
 
kila anaeniona anadhani nina mtu . naambiwa msalimie shemeji na mimi nawambia poa sasa nifanyeje?
sina hata boyfriend naona hata aibu kusema sina mpenzi wala mtoto.ngoja nitafute tu huku mtandaoni .
Natafuta mke nioe mwakani.tuanze mambo mamaa
 
hatimaye umeamua kufunguka.....mficha uchi hazai

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom