Sipati mchumba kwa sababu wananihisi vibaya

kawaida mkuu bado nachagua
Unatafuta mchumba wa aina gani? Unategemea uchumba wenu utadumu kwa muda gani kabla hamja udevelop kwenda stage nyingine? During interval and between stages mtakuwa mnafanya nini? Utakuwa unapima uwezo wake wa kumwaga fedha siyo? Sawa je utakuwa unampa tamuu kila akihitaji? Je tokea umeanza kutafuta huku mitandaoni ni kweli kuwa hujawahi kupata kichwa hata kimoja? Au huyu uliyenaye sasa hivi ndiyo yuko kwenye broke point kwa hiyo unaanza kutafuta tawi jingine la kukausha?!! Mjaribu Pdidy
 
kila anaeniona anadhani nina mtu . naambiwa msalimie shemeji na mimi nawambia poa sasa nifanyeje?
sina hata boyfriend naona hata aibu kusema sina mpenzi wala mtoto.ngoja nitafute tu huku mtandaoni .

Nime ku-quote tena.......😀
 
Unatafuta mchumba wa aina gani? Unategemea uchumba wenu utadumu kwa muda gani kabla hamja udevelop kwenda stage nyingine? During interval and between stages mtakuwa mnafanya nini? Utakuwa unapima uwezo wake wa kumwaga fedha siyo? Sawa je utakuwa unampa tamuu kila akihitaji? Je tokea umeanza kutafuta huku mitandaoni ni kweli kuwa hujawahi kupata kichwa hata kimoja? Au huyu uliyenaye sasa hivi ndiyo yuko kwenye broke point kwa hiyo unaanza kutafuta tawi jingine la kukausha?!! Mjaribu Pdidy
@The Boss unaona kama huyu .haamini kama sijawai kupata mtu huku wala sina .situation kama hizi
 
kila anaeniona anadhani nina mtu . naambiwa msalimie shemeji na mimi nawambia poa sasa nifanyeje?
.

Usiwajibu hivyo pindi wakuulizapo habar za shemeji unawafukuza mwenyew wajibu tu kwamba huna
Mara nyingi wanatumia hako kasalam kama mtego ili kujua kama unamilikiwa au la

Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
 
Hizi imani zako ndo zinazokimbiza wachumba
watu hutongozana kwa sababu tofauti hata kutamaniana tu
au kusogeza mda but wakaishia kuwa na future vilevile
sio wote waliooana walipanga kufunga ndoa
wengine walianza kama tu kupoteza mda wakanogeana ikaja ndoa..

Wewe unaetaka mtu akuhakikishie ndoa kwanza endelea kutafuta
Tena siku akitongozwa namshauri waende kwa wakili au mwadishi wa umma akaandikiwe mkataba wa ndoa kwanza!!
 
Usiwajibu hivyo pindi wakuulizapo habar za shemeji unawafukuza mwenyew wajibu tu kwamba huna
Mara nyingi wanatumia hako kasalam kama mtego ili kujua kama unamilikiwa au la

Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
naona uvivu wa kuanza kujibizana na mtu maana hata ukisema huna wanaanza maongezi marefu tena . mara onesha kidole kama una pete ,mara nipe simu yako nikae nayo siku mbili .all those drama mi inabidi nikubali tu
 
Sasa my Dada bila hayo maongez huyo mchumba utampataje

Back
Top Bottom