suregirl
JF-Expert Member
- Jun 8, 2012
- 6,056
- 198
mmh! Unayoyasema si kweli
Mwehu...
mmh! Unayoyasema si kweli
Huna.akili hata za kuongezwautalipa kwa kisosi au??
unacheka kama kunguru.
Aaaahh wapi ameanza kulainika.....Ahhhha hiv bado ana minyana
Aaaahh wapi ameanza kulainika.....
ndo manake, ata leo asubuhi nimefanyiwa....
Ahhhhahhhha naona wanajitahid kwa hoja ila hawana mashiko
Teheteheteheteheee....Ngoja kwanza tucheke wote halafu nitaendelea.
Hilo cheko lazima utakua umelipata toka Tanga.....
Vip unawaita waje kukusaidia kuni....???skuiz kila mwanamke anayajua mapenz hakuna jipya....labda ka mna vya dhahabu
Kwa kuwa umekiri wewe ni Mmbeya naomba kutoa hoja....
Ndo mana ati me najua una.experience na.watanga kumbe bas walau mumeo angekua mtanga
Ahhha umeona enh
mbona hujasema na rangi yake?
Sema mamaa nini shida hapa sielewi elewi ivi teh teh!!
ahahhah soma thread ujichekeee unenepeeeeeeeee
Basi mumy punguza morari...............wefanya kama unakula bati ivi usije nufaisha watu
ahhahhah ukiwa kimya anakuona unamuogopa
ahahahahha camera 360 ina mstiri
Heeeheeeeheiyaaaa nimecheka mie wallah,yaani rakha tu apa.
Heheheheheh mie timbwili langu likianza hapa mpaka nitulizwe na ukoo wangu ati, Tanga Rakha,Waja leo kuondoka majaaaliwa,Kwa mapenzi ndo usiseme, mapishi ndo balaa teh teh oyooooooooooooooo TEAM Tanga Raha waaambieni!!Cc Mamaafacebook, tabibumtaratibu