Sio Tanga tu, hata Mbeya wanajua mapenzi

Sio Tanga tu, hata Mbeya wanajua mapenzi

Umejaribu kujibu baadhi ya hoja japo ni uongo mtupu, mbona hujagusia la kulima na kula bangi? Kugema magari ya mafuta mpaka mwanzoni mwa miaka ya 2000 mkaungua na kubakia vipisi utadhani Sigara nyota juu waal chini hakufahamiki ni wapi....

Ahhhhahhhha naona wanajitahid kwa hoja ila hawana mashiko
 
Hahahahahahaha...enheeee...mengine...maliza yote leo utoe dukuduku..
Teheteheteheteheee....Ngoja kwanza tucheke wote halafu nitaendelea.

Hilo cheko lazima utakua umelipata toka Tanga.....
 
Teheteheteheteheee....Ngoja kwanza tucheke wote halafu nitaendelea.

Hilo cheko lazima utakua umelipata toka Tanga.....
Halulaaaaa...tanga ndo kila kitu in your world but hainipunguz mie kuwa wa mbeya...ukimaliza kucheka na mim rudi kutema povu hilo uwe na amani
 
Shosti pole sana naona.ungeanza kunya tikiti.wewe kama kweli.vinawezekana tanga tukinyema wapo ila wanajua kutumia voungo.vizur samaki akipoa hua hana ladha ila ukimuweka tangawizi limao kitungu saum hua anacgangamka upo apo enh amka bib usivute shuka kushakucha ndo bas tena

Vip hamkubali kwamba kuna wengine pia wanaweza...mnachojua huko tanga mapenz...hahahaha ngacheka mie...bas huko tanga hamuachiki wote ndoa mnazo na wanaume wanakimbilia huko kwa misifa mnayojishushia hapa...hakuna jipyaaa hizo mbwembwe tu za visosi na kila kitu...vip si tungesikia wenzetu nyie hamuachiki...??mim tikit kulinya bado sanaaaaaaa..especially kwa mada kama hiiii ya mapenz..ndo mnachojisifiaaa kumbe????haya kuleni hayo mapenz bas au tuwape na tuzo kabisa ndo mtulie....kizur hakijisifiii shost..
 
Halulaaaaa...tanga ndo kila kitu in your world but hainipunguz mie kuwa wa mbeya...ukimaliza kucheka na mim rudi kutema povu hilo uwe na amani
Kwa kuwa umekiri wewe ni Mmbeya naomba kutoa hoja....
 
Vip hamkubali kwamba kuna wengine pia wanaweza...mnachojua huko tanga mapenz...hahahaha ngacheka mie...bas huko tanga hamuachiki wote ndoa mnazo na wanaume wanakimbilia huko kwa misifa mnayojishushia hapa...hakuna jipyaaa hizo mbwembwe tu za visosi na kila kitu...vip si tungesikia wenzetu nyie hamuachiki...??mim tikit kulinya bado sanaaaaaaa..especially kwa mada kama hiiii ya mapenz..ndo mnachojisifiaaa kumbe????haya kuleni hayo mapenz bas au tuwape na tuzo kabisa ndo mtulie....kizur hakijisifiii shost..

Ahhha pole yako hua sinaga timevya kukaa chini na kujibizana skia sawa usione ukadhan.tunababaikia mapenz tu tumesoma.wengine mapenz tunayo.tunajua kuyahandle kwa taarifa rejea kauli yangu mwanamke tosha n.limbwat sasa jinsi.ya kulitumia bib n.akili.ako hao.walioachika.n.wao wenyewe mie alokuambia nimeachika nan maana.unaongea kama mwenyekiti wa mtaa au kungwi langu inahu kapashe chai unywe
 
hahaha ata povu limtoke mbeya hawajui bhana...
tanga ata mwanaume ukisema unaskia mkojo, unapelekwa chooni na beby anakusaidia kushika dudu, kazi yako ni kutoa mkojo tu, ukimaliza unasafishwa vizuur.......
cc: wanawake wa mbeya,

Ahhhha naona wana kishadadia chao wamekituma mambo yose tenda manyikana rero
 
Last edited by a moderator:
Vip unawaita waje kukusaidia kuni....???skuiz kila mwanamke anayajua mapenz hakuna jipya....labda ka mna vya dhahabu

Nakushangaa sana bibie umeona.cha dhahabu tu mtu akitia anarud kuchungulia je ni nyama.au kuna.ziada na manjonjo anayoyapata ndo nyie mkiona vichaka mavi yamewabana kwendaga
 
hahaha ata povu limtoke mbeya hawajui bhana...
tanga ata mwanaume ukisema unaskia mkojo, unapelekwa chooni na beby anakusaidia kushika dudu, kazi yako ni kutoa mkojo tu, ukimaliza unasafishwa vizuur.......
cc: wanawake wa mbeya,
Wakati wa kujivinjari mwanaume nikisikia alarm ya gari langu inalia sina haja ya kuacha kipute kuangalia usalama wake, Hubby wangu ananiinua kwa kiuno chake tu wakati huo mimi naendelea kutwanga na kupepeta mpaka usawa wa dirisha nikiridhika na usalama wa gari ananirudisha chini taratiiibu mpaka usawa wa bahari tunaliendeleza.....

Wafuga ndevu wanayajua hayoo?......
 
Kwa kuwa umekiri wewe ni Mmbeya naomba kutoa hoja....

Ahhha huyu ni kidampa wao wamemtuma aje kushikilia usukani ila wapi bado kinda sanaaa mtoto little kwa taarifa yake tu tanga kwa mapish alhamdulillah wali naz mchuzi naz bado ugali naz na soon.utakuja
 
Wakati wa kujivinjari mwanaume nikisikia alarm ya gari langu inalia sina haja ya kuacha kipute kuangalia usalama wake, Hubby wangu ananiinua kwa kiuno chake tu wakati huo mimi naendelea kutwanga na kupepeta mpaka usawa wa dirisha nikiridhika na usalama wa gari ananirudisha chini taratiiibu mpaka usawa wa bahari tunaliendeleza.....

Wafuga ndevu wanayajua hayoo?......

Ahhha wayajulie wapi hawa ni sawa na wapangaji kutaka kuleta amri kwa mwenye nyumba
 
Back
Top Bottom