Sio Tanga tu, hata Mbeya wanajua mapenzi

Sio Tanga tu, hata Mbeya wanajua mapenzi

Rejea kichwa cha habari hapo juu, mimi ninaamini sio Tanga tu ndio eneo pekee wanaojua mapenzi.

Hata hapa kwetu MBEYA wapo mabinti wengi wanojua mapenzi tena zaidi ya watu wa Tanga nina ushuhuda wa vijana wengi kutoka mikoa mbalimbali sasa wanakimbilia Mbeya kuwaoa mabinti wa Mbeya.

Ushauri wangu ukiona una hangaika wapi utapata mpenzi hodari na atakaye kufurahisha karibu sana mbeya.

Mapenzi zaidi ya Tanga

Hamna lolte huko...UCHAWI tu ndo mmeendekeza. Nikimpenda binti basi nijiandae kulishwa limbwata ati ili nikolee. nkt!
 
wewe watoto wa tanga hatari ukimaliza mippumbu yako inawekwa kwenye kisosi na maji ya vuguvugu ukitota hapo kitu unaendelea naona wewe hujui wewe aii[/QUOTE

"Waniua ua kipenzi waniua ua" Miss Chagga mi naimba tu, tena najiimbia mwenyewe,
 
Heheheheheh mie timbwili langu likianza hapa mpaka nitulizwe na ukoo wangu ati, Tanga Rakha,Waja leo kuondoka majaaaliwa,Kwa mapenzi ndo usiseme, mapishi ndo balaa teh teh oyooooooooooooooo TEAM Tanga Raha waaambieni!!Cc Mamaafacebook, tabibumtaratibu

Kweli kabisa mafikizolo, Kaka wa rafiki yangu mmoja alienda tanga kikazi hadi sasa hata kwao hajawahi kurudi ni miaka 20 imepita sasa wazazi wao wamefariki jamaa hata msibani hakuja.
Kweli tanga noma.......!
 
Last edited by a moderator:
Baelezeeeee baelewe haooooooo!! Mamaafacebook unaona na hili teh teh 20yrs
Kweli kabisa mafikizolo, Kaka wa rafiki yangu mmoja alienda tanga kikazi hadi sasa hata kwao hajawahi kurudi ni miaka 20 imepita sasa wazazi wao wamefariki jamaa hata msibani hakuja.
Kweli tanga noma.......!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom