suregirl
JF-Expert Member
- Jun 8, 2012
- 6,056
- 198
Malizia hojaaaa..kwani napungua nin????sijaolewa kwenu mkuuu usisumbuke na mim😛
Ndo mana ati me najua una.experience na.watanga kumbe bas walau mumeo angekua mtanga
Malizia hojaaaa..kwani napungua nin????sijaolewa kwenu mkuuu usisumbuke na mim😛
Mwamba ngoma uvutia kwake.... hata kwa wachaga sasa wapo wanaojua mapenzi....haha
Ahhha kuna mmoja namfaham.ana.umbo funza mueke nyuma
Sema mamaa nini shida hapa sielewi elewi ivi teh teh!!
Ahhha pole yako hua sinaga timevya kukaa chini na kujibizana skia sawa usione ukadhan.tunababaikia mapenz tu tumesoma.wengine mapenz tunayo.tunajua kuyahandle kwa taarifa rejea kauli yangu mwanamke tosha n.limbwat sasa jinsi.ya kulitumia bib n.akili.ako hao.walioachika.n.wao wenyewe mie alokuambia nimeachika nan maana.unaongea kama mwenyekiti wa mtaa au kungwi langu inahu kapashe chai unywe
Basi mumy punguza morari...............wefanya kama unakula bati ivi usije nufaisha watu
mbona hujasema na rangi yake?
ahahhah soma thread ujichekeee unenepeeeeeeeee
ahhahhah ukiwa kimya anakuona unamuogopa
Heeeheeeeheiyaaaa nimecheka mie wallah,yaani rakha tu apa.
umemuona bibie anavotoka moshi na povu kwa kitu cha kuleweka basi nikajua huyo anaemuita mumewe ni mtanga kumbe sio sasa ushababi wa kuisemea tanga anautoa wapi??? hana hata xperience nako kasikia tu asee hajui akili za kuambiwa changanya na zako utapata jibu...............................
Umenikumbusha Bahati Bukuku....Ngoja nijikumbushe ule wimbo wake "Ni nyakati za mwisho...."Ahhhhahhhha saut kama kondoo kabanwa na.mtego wengi wao wana.saut mbaya asee.
Kumbe Tanga anaisikia tu halafu anakuja kutuchafulia hali ya hewa tu hapa....Ndo mana ati me najua una.experience na.watanga kumbe bas walau mumeo angekua mtanga
Heheheheheh mie timbwili langu likianza hapa mpaka nitulizwe na ukoo wangu ati, Tanga Rakha,Waja leo kuondoka majaaaliwa,Kwa mapenzi ndo usiseme, mapishi ndo balaa teh teh oyooooooooooooooo TEAM Tanga Raha waaambieni!!Cc Mamaafacebook, tabibumtaratibu
Hahahahahahah asilolijua litamsumbua ati, hahahahah awai stendi wakati nauli tunayo sie
Umenikumbusha Bahati Bukuku....Ngoja nijikumbushe ule wimbo wake "Ni nyakati za mwisho...."
Wanawake wana sauti kama Rainfred Masako.....
Ahhhha waaambieeee shetani akipanda had kipande cha dhahabu ndo anatulia
Videmu vingi vya mbeya ni vfup ucpme.