Sio Tanga tu, hata Mbeya wanajua mapenzi

Sio Tanga tu, hata Mbeya wanajua mapenzi

Jaman naomba mnisaidie hivi mkoa weny maendeleo ni upi si MUSOMA
 
Aya ninunulie basi

Au hii, ImageUploadedByJamiiForums1410490586.495507.jpg
Nitafute tulipokutana last time
 
Rejea kichwa cha habari hapo juu, mimi ninaamini sio Tanga tu ndio eneo pekee wanaojua mapenzi.

Hata hapa kwetu MBEYA wapo mabinti wengi wanojua mapenzi tena zaidi ya watu wa Tanga nina ushuhuda wa vijana wengi kutoka mikoa mbalimbali sasa wanakimbilia Mbeya kuwaoa mabinti wa Mbeya.

Ushauri wangu ukiona una hangaika wapi utapata mpenzi hodari na atakaye kufurahisha karibu sana mbeya.

Mapenzi zaidi ya Tanga

naongelea wa kuoa sio kuchuna...
Lift imetokea wapi humu,
Bila shaka bado unajifunza jinsi ya kupangilia hoja. Angalia ulivyoanza hapo kwenye rangi nyekundu, halafu unajirekebisha kwenye rangi ya bluu mwishoni tena ukajichanganya tena kwenye rangi nyekundu.

Hueleweki ulitaka kuongelea nini kwa leo kati ya kufanya mapenzi kwa maana ya ngono tu au kutafuta mchumba kwanza na tendo lifuate baada ya ndoa?

Kabla ya kuleta mada jipange, hapa ni JF ukileta mada kiutani utani utajibiwa kiutani utani, ukileta mada makini yenye ujazo utajibiwa hivyo hivyo. Nadhani umenipata
 
Mjinga mjinga potexea hana jipya
 
jiheshimu chalii angu.
Kumbe limekuuma eeeehhh, umeanza sisi tunamaliza bora tusielewane vibaya. Ukiona huwezi vumilia matusi basi usitukane watu wa Pwani maana huko ndiko chimbuko, bara mnajifunza tu toka Bandarini....
 
Back
Top Bottom