Sio Tanga tu, hata Mbeya wanajua mapenzi

Sio Tanga tu, hata Mbeya wanajua mapenzi

Kweli kabisa mafikizolo, Kaka wa rafiki yangu mmoja alienda tanga kikazi hadi sasa hata kwao hajawahi kurudi ni miaka 20 imepita sasa wazazi wao wamefariki jamaa hata msibani hakuja.
Kweli tanga noma.......!

uchawi wa tanga kweli ni hatari...
 
Uliwahi kuona wapi mwanamke wa kiarabu akafuga ndevu? Kama wapo waarabu wanawake wenye ndevu basi watakuwa wazawa wa Mbeya....

kumbe na wewe unajua wanwake hawafugi ndevu... Sasa ulianzaje kuisema hio hoja
 
Bila shaka bado unajifunza jinsi ya kupangilia hoja. Angalia ulivyoanza hapo kwenye rangi nyekundu, halafu unajirekebisha kwenye rangi ya bluu mwishoni tena ukajichanganya tena kwenye rangi nyekundu.

Hueleweki ulitaka kuongelea nini kwa leo kati ya kufanya mapenzi kwa maana ya ngono tu au kutafuta mchumba kwanza na tendo lifuate baada ya ndoa?

Kabla ya kuleta mada jipange, hapa ni JF ukileta mada kiutani utani utajibiwa kiutani utani, ukileta mada makini yenye ujazo utajibiwa hivyo hivyo. Nadhani umenipata

usipende kuiga mambo ya jukwaa la siasa... Hakuna kosa hapo... Inaoneka unatumia akili za wengine kuendesha mambo yako
 
Back
Top Bottom