Sio Tanga tu, hata Mbeya wanajua mapenzi

Sio Tanga tu, hata Mbeya wanajua mapenzi

Dogo usipime maji kwa miguu yote miwili nimekuwa mtumishi Ofisi ya Mkuu wako wa Mkoa kwa miaka 5, makazi uhindini. Au ulitegemea niishi huko unakoishi wewe?

Hata hao wa Green Lounge, Babies Club, Carnival, City Pub ambao wanasifika wengi wao si wazawa wa hapo wamekuja kuchuna malimbukeni ya mapenzi yanayoibukia leo wakati hata jengo lenye Lift wamepata mwaka jana kupitia CWT tokea miaka 50 ya Uhuru....

naongelea wa kuoa sio kuchuna...
Lift imetokea wapi humu,
 
Umejaribu kujibu baadhi ya hoja japo ni uongo mtupu, mbona hujagusia la kulima na kula bangi? Kugema magari ya mafuta mpaka mwanzoni mwa miaka ya 2000 mkaungua na kubakia vipisi utadhani Sigara nyota juu wala chini hakufahamiki ni wapi....

punguza jazba jombaa... Uliyo yasema yote hayahusiani na mapenzi... Hizo ni itikadi
 
Shosti pole sana naona.ungeanza kunya tikiti.wewe kama kweli.vinawezekana tanga tukinyema wapo ila wanajua kutumia voungo.vizur samaki akipoa hua hana ladha ila ukimuweka tangawizi limao kitungu saum hua anacgangamka upo apo enh amka bib usivute shuka kushakucha ndo bas tena

kunya tikiti kwanza wewe.... Sisi tutakunya viazi
 
Nachukua na kiroba kabisa cha kuboost steam

atalipa na nini wakati hana pessa... Kakutajia ya bei poa akijua atatoa hata kisosi... Sasa wewe unachukua na kiroba unatka aliwe tigo mwenzio tuoneane huruma
 
Rejea kichwa cha habari hapo juu, mimi ninaamini sio Tanga tu ndio eneo pekee wanaojua mapenzi.

Hata hapa kwetu MBEYA wapo mabinti wengi wanojua mapenzi tena zaidi ya watu wa Tanga nina ushuhuda wa vijana wengi kutoka mikoa mbalimbali sasa wanakimbilia Mbeya kuwaoa mabinti wa Mbeya.

Ushauri wangu ukiona una hangaika wapi utapata mpenzi hodari na atakaye kufurahisha karibu sana mbeya.

Mapenzi zaidi ya Tanga

bi mkubwa kumbe unatokea mbeya??? nitafutie msichana mmoja kutokea huko basi ili nijihakikishie.
 
Vip hamkubali kwamba kuna wengine pia wanaweza...mnachojua huko tanga mapenz...hahahaha ngacheka mie...bas huko tanga hamuachiki wote ndoa mnazo na wanaume wanakimbilia huko kwa misifa mnayojishushia hapa...hakuna jipyaaa hizo mbwembwe tu za visosi na kila kitu...vip si tungesikia wenzetu nyie hamuachiki...??mim tikit kulinya bado sanaaaaaaa..especially kwa mada kama hiiii ya mapenz..ndo mnachojisifiaaa kumbe????haya kuleni hayo mapenz bas au tuwape na tuzo kabisa ndo mtulie....kizur hakijisifiii shost..

wewe unanikuna ndo maana nawasifia... Hapa nisha,,,,,,,,,,,,,,... Tayari
 
Back
Top Bottom