The navi 2
JF-Expert Member
- Aug 31, 2013
- 352
- 46
Ahhha pole yako hua sinaga timevya kukaa chini na kujibizana skia sawa usione ukadhan.tunababaikia mapenz tu tumesoma.wengine mapenz tunayo.tunajua kuyahandle kwa taarifa rejea kauli yangu mwanamke tosha n.limbwat sasa jinsi.ya kulitumia bib n.akili.ako hao.walioachika.n.wao wenyewe mie alokuambia nimeachika nan maana.unaongea kama mwenyekiti wa mtaa au kungwi langu inahu kapashe chai unywe
Ahhhha naona wana kishadadia chao wamekituma mambo yose tenda manyikana rero
Nakushangaa sana bibie umeona.cha dhahabu tu mtu akitia anarud kuchungulia je ni nyama.au kuna.ziada na manjonjo anayoyapata ndo nyie mkiona vichaka mavi yamewabana kwendaga
Wakati wa kujivinjari mwanaume nikisikia alarm ya gari langu inalia sina haja ya kuacha kipute kuangalia usalama wake, Hubby wangu ananiinua kwa kiuno chake tu wakati huo mimi naendelea kutwanga na kupepeta mpaka usawa wa dirisha nikiridhika na usalama wa gari ananirudisha chini taratiiibu mpaka usawa wa bahari tunaliendeleza.....
Wafuga ndevu wanayajua hayoo?......
Ahhha huyu ni kidampa wao wamemtuma aje kushikilia usukani ila wapi bado kinda sanaaa mtoto little kwa taarifa yake tu tanga kwa mapish alhamdulillah wali naz mchuzi naz bado ugali naz na soon.utakuja
Ahhha wayajulie wapi hawa ni sawa na wapangaji kutaka kuleta amri kwa mwenye nyumba
Mwambie bilo alete kwangu
Wao kutwa kula vyakula vya mafuta ya viwandani toka Zambia ndiyo maana mishepu isiyoeleweka na minywele wanawake kama Essau...
Narudia tena ukiona mwanamke mrembo, anayeyajua mambo Mbeya huyo si mzawa, nimeishi mkoa huo miaka 5 na mimi kwa taarifa yao ni mtu wa viwanja. Nimetaja baadhi ya maeneo maarufu hapo Mbeya mjini katika moja ya nyuzi zangu, hao wote wanaoshabikia mademu wa mbeya watoe ushahidi wao wadau wafunguke humu..
Ahhhhha wana jipya gani kaz yao kulia misibani
Ahhha wawaulize makaka zao.tunao.huku mbona.hawarud kwao.asilete ujuaji
Hakuna cha kabila wala nini zama hizi katika suala la mapenzi. Juzi juzi nimetafuna mtoto mmoja wa Kichagga anakata viuno balaa. Sikuamini kabisa.
Me ndo.mana nasema.mwanamke tosha n.limbwta kulitumia. N.wewe mwenyewe
Umeuwa ukazika na matanga umeanua mama hatarudia tena huyo....
watayajulia wapi hayo....mbeya wanasemaga niangusage tuu sambi sako!
Ahhhhahhha nachekaje
Ahhhhahhhha saut kama kondoo kabanwa na.mtego wengi wao wana.saut mbaya asee.
Inaelekea wewe ni dalali wa mapenzi, upo kazini ukanda wa mbeya