Sio Tanga tu, hata Mbeya wanajua mapenzi

Sio Tanga tu, hata Mbeya wanajua mapenzi

umemuona bibie anavotoka moshi na povu kwa kitu cha kuleweka basi nikajua huyo anaemuita mumewe ni mtanga kumbe sio sasa ushababi wa kuisemea tanga anautoa wapi??? hana hata xperience nako kasikia tu asee hajui akili za kuambiwa changanya na zako utapata jibu...............................

wanaume watanga waremavu acha uongo... Wanajua kucheza bao na kulima pineapple
 
Umenikumbusha Bahati Bukuku....Ngoja nijikumbushe ule wimbo wake "Ni nyakati za mwisho...."
Wanawake wana sauti kama Rainfred Masako.....

hujitambui ndugu.... Sauti anayoongea ndani unataka aongee kote.... Wanawake wa mbeya wana sauti ya kwanza' pili' na ya tatu...... Sio tanga wabana pua watakuja kufa
 
Hamna lolte huko...UCHAWI tu ndo mmeendekeza. Nikimpenda binti basi nijiandae kulishwa limbwata ati ili nikolee. nkt!

pole sana ndugu... Uchawi mikoa inayoongoza ni tanga na wa pili ni sumbawanga.... Limbwata mara nyingi ni michezo ya handeni na korogwe
 
Back
Top Bottom