Sio kila mwanaume 'anaibiwa' mtoto

Sio kila mwanaume 'anaibiwa' mtoto

Ndio hivyo tena mshahara wa dhambi...inabidi uwe unamchungulia chungulia kwa mbaali...maana ukisogea hukawii kufananishwa...

Imagine huyo mwenye mke angekuwa hana mtoto kabisa na ametafuta hakubahatika kupata,kuna wakati kama huna mtoto unatamani uwe na wako tu akirithi
 
Mimi nakwambia kuna mdada tulikuja kujua ni wa nje siku ya wedding yake...
ya kuficha sometimes hayafiki mbali,ipo familia ilificha sana mtaani kwetu,mtoto akaja kugundua akiwa kwenye umri wa miaka 19 hivi,aligundua wenzake wanamwambia wewe hupendwi kwasababu baba yako si huyo,akawa anafuatiliwa mdogo mdogo,hata hajaongea na watu wa kwao akaenda singinda huko kufanya mambo yake na kupotezea familia iliyomkuza
 
Ameipotezaje tena?

ya kuficha sometimes hayafiki mbali,ipo familia ilificha sana mtaani kwetu,mtoto akaja kugundua akiwa kwenye umri wa miaka 19 hivi,aligundua wenzake wanamwambia wewe hupendwi kwasababu baba yako si huyo,akawa anafuatiliwa mdogo mdogo,hata hajaongea na watu wa kwao akaenda singinda huko kufanya mambo yake na kupotezea familia iliyomkuza
 
Kuna jamaa mmoja ana mihela hatareee...lakini alikuwa mtoto wa nje na ndio sababu ya mama yake kupigwa talaka...
Na ilikuwa ngumu kuficha kwa kuwa mama alizaa na mwarabu...amekataa nywele weeee...mwisho haikusaidia...katoto kakiwa na miaka 2 baba kashtukia kuwa si wake...

Lakini sasa hivi mama anakula pension...baba (mlishi) alifia kwenye nyumba ya udongo...
Ndio maana nasema watoto wa hivi Mungu anawasikia kilio chao...
Dark side of it jamaa ni kiwembe mbaya...
Na hivi ni shombe shombe...

halafu unakuta watoto wake hawajielewi,huyo wa kuchepuka inaonekana anajielewa
 
Kuna jamaa mmoja ana mihela hatareee...lakini alikuwa mtoto wa nje na ndio sababu ya mama yake kupigwa talaka...
Na ilikuwa ngumu kuficha kwa kuwa mama alizaa na mwarabu...amekataa nywele weeee...mwisho haikusaidia...katoto kakiwa na miaka 2 baba kashtukia kuwa si wake...

Lakini sasa hivi mama anakula pension...baba (mlishi) alifia kwenye nyumba ya udongo...
Ndio maana nasema watoto wa hivi Mungu anawasikia kilio chao...
Dark side of it jamaa ni kiwembe mbaya...
Na hivi ni shombe shombe...
watoto wa dizain hii huwa wakielewa tu situation walivyopatikana huwa wanaanza kujitegemea na kustruggle ile mbaya
 
Kuna jamaa mmoja ana mihela hatareee...lakini alikuwa mtoto wa nje na ndio sababu ya mama yake kupigwa talaka...
Na ilikuwa ngumu kuficha kwa kuwa mama alizaa na mwarabu...amekataa nywele weeee...mwisho haikusaidia...katoto kakiwa na miaka 2 baba kashtukia kuwa si wake...

Lakini sasa hivi mama anakula pension...baba (mlishi) alifia kwenye nyumba ya udongo...
Ndio maana nasema watoto wa hivi Mungu anawasikia kilio chao...
Dark side of it jamaa ni kiwembe mbaya...
Na hivi ni shombe shombe...

kuwa kiwembe inawezekana pia ni ile kutafuta affection baada ya rejection....
anajaribu kujitibu kisaikolojia....
 
Nafikiri situation ya wiyelele ni complicated. Hajaibiwa mtoto, yeye mwenyewe na mama wa huyo mtoto waliamua kwa mapenzi yao wazae mtoto as kumbukumbu ya penzi lao... Hivi leo akienda kwa mume wa huyo dada , amwambie anahitaji mtoto wake, huyo mama wa mtoto atasalimika? Haya na mke wa wiyelele atakubali tu kumpokea huyo mtoto na ndoa kuendelea bila dosari? Atleast wanawake huwa tunakubali kulea watoto wa nje
 
Hivi baba na mtoto ni lazima wafanane blood group?
Doc ​ Riwa hebu tusaidie hapa.
Ndo maana nikasema sio kila mwanaume
wapo wanaoibiwa hawajui but wengine huwa wana kama sixth sense hivi
au strong connection.....labda Pasco aje atusaidie.....

kuna mzee alibambikiwa mtoto.....mtoto wacha augue hadi kuhitaji damu..ikakutwa damu ya baba sio ya mtoto
gruop tofauti hadi baba akajua huyo mtoto sio wake kabambikiwa
 
Kuna Mtu wa karibu aligundua yeye si mtoto wa familia ile wiki mbili kabla ya ndoa.
Ilianza kwa utani tu, mchumba wake wakati anatizama albam ya familia yao alimwambia jamaa "hapana bana mbona hufanani na ndugu zako wengine, hebu ongea na mama yako vizuri?" Jamaa akachukulia kama utani, lakini at the same time akaanza ku-recall baadhi ya matukio katika familia.

Ile sindano ilimuingia vizuri, siku ya pili akamfuata Mama yake mdogo na kumueleza, baada ya huku na kule akapewa ramani ya aliko Baba yake (biological). Ile anagonga hodi getini akatokea dada mmoja wa makamo na kumwambia "Karibu sana wala huna haja ya kuuliza tumeshajua ulichokuja kuulizia, wewe ni sehemu ya familia yetu". Kukata story alikuja Baba yake na wakaongea siku nzima!!!

Nachotaka kuwaambia Wanawake ambao wanafikiria au wanadhani wanaweza kuficha Biological father wa Mtoto/Watoto wao wanafanya kosa kubwa sana ambalo linaweza kuwagharimu siku moja.

Dunia ya leo na maendeleo ya leo ni ngumu sana kulificha hilo kwa kipindi kirefu.................usije shangaa unaumbuliwa Instagram, Watsapp au kwenye other social network.

Ukiamua kuzaa na Mtu iwe wazi na ajue, ukipata kwa bahati mbaya mwambie mhusika ajue. Usije kujaribu kufanya hilo kwenye ndoa utavuruga familia, mtoto au hata ukoo.
 
What if mtoto akijua na kukutafuta? utammwambia rudi hukohuko?

mtoto hawezi kukutafuta kama hajapewa siri afu s
kama alilelewa kwa upendo na baba feki hata ukimtafuta upendo hautakuwa sawa na alikotoka hii kwa wale wakubwa
 
The Boss naomba urejee kisa hiki kilichowahi kuandikwa katika gazeti la Jitambue na mimi kama mdau wa gazeti hilo nikaja kukiweka hapa;

https://www.jamiiforums.com/mahusia...6-binti-aliyeitoa-jasho-familia-kwa-visa.html

Naomba nikiri kwamba, haya mambo ni magumu tfauti nawatu wanavyofikiria.

Niliwahi kusikia mahali kwamba hapa nchini kuwa baadhi ya makabila ni lazima mke azae nje ya ndoa japo mtoto mmoja ili ile familia ikifanyiwa jambo baya la kuangamiza ukoo kiuchawi ,basi abaki japo mtoto mmoja wa kujenga ukoo mwingine, sasa sijui huo ukoo utatambulika kwa jina lipi, kule mtoto baba halisi wa mtoto alipotokea au jina la ukoo wa huyu baba aliyebambikiwa......

Swala la watoto wa nje ya ndoa waliozaliwa kwa ule mtindo wa kitanda hakizai haramu, wanalindwa sana na mila tangu kale na baba hata akiujua ukweli haruhusiwi kulalamika wala kumsusa, sana sana atapendwa kuliko watoto wote maana atakuwa akilindwa na mama kwa nguvu zote.

Kule Ghana kwa mfano ufalme huwa unarithishwa kwa mjomba, yaani mtoto wa dada wa mfalme, yaani huyu anaaminika ametoka kwenye tumbo la binti wa mfalme, lakini mtoto wa mfalme hawezi kurithi kwa sababu ya hofu ya ufalme kutoka nje ya ukoo, kwani hapa mke wa mfalme haaminiki anaweza kumbambikia mfalme mtoto kutoka ukoo mwingine.....

Ngoja kwanza niishie hapa

Nitarudi

Mimi nakubaliana na wewe...ukimwaga mbegu nje na unajua ziko kwenye himaya ya mtu, ziache zikulie huko huko. Kuna mambo mengine hayajengi...yana bomoa kuliko maelezo. Naamini kwa kisa hicho cha kudai mtoto wote watakuwa majeruhi wa yatakayotokea kwa namna tofauti tofauti
 
Ubaba ni zaidi ya mbegu...watu hawatambui hilo...

https://www.youtube.com/watch?feature=player_detailpage&v=BjO1F6oCab8

[h=2]BRAD PAISLEY LYRICS[/h] [TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD]
da85bb413a48f8cdd3feb0a9f7e4abe9.png
[/TD]
[TD]Send "He Didn't Have To Be" Ringtone to your Mobile[/TD]
[TD]
1034c502b72f03dd6248790b74176ad3.png
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]



"He Didn't Have To Be"

When a single mom goes out on a date with somebody new
It always winds up feeling more like a job interview
My momma used to wonder if she'd ever meet someone
Who wouldn't find out about me and then turn around and run

I met the man I call my dad when I was five years old
He took my mom out to a movie and for once I got to go
A few months later I remember lying there in bed
I overheard him pop the question and prayed that she'd say yes

And then all of a sudden
Oh, it seemed so strange to me
How we went from something's missing
To a family
Lookin' back all I can say
About all the things he did for me
Is I hope I'm at least half the dad
That he didn't have to be

I met the girl that's now my wife about three years ago
We had the perfect marriage but we wanted somethin' more
Now here I stand surrounded by our family and friends
Crowded 'round the nursery window as they bring the baby in

And now all of a sudden
It seemed so strange to me
How we've gone from something's missing
To a family
Lookin' through the glass I think about the man
That's standin' next to me
And I hope I'm at least half the dad
That he didn't have to be

Lookin' back all I can say
About all the things he did for me
Is I hope I'm at least half the dad
That he didn't have to be

Yeah, I hope I'm at least half the dad
That he didn't have to be
Because he didn't have to be
You know he didn't have to be

mtoto hawezi kukutafuta kama hajapewa siri afu s
kama alilelewa kwa upendo na baba feki hata ukimtafuta upendo hautakuw
a sawa na alikotoka hii kwa wale wakubwa
 
labda DNA.

Mnaweza kuwa familia moja na mkawa ma magroup tofauti, japo repetition ya wazazi huwa ipo pia.

Blood groups zinarithiwa kutoka kwa wazazi ila haziko specific kama DNA test. Ila hawezekani baba kwenye group O na mama mwenye group A kuzaa mtoto kwenye group B.
 
sijui for sure but mtoto akiwa na group tofauti kabisa mfano gruop 0 wakati hakuna mwingine kwenye familia mwenye group hilo lazima tu kutakuwa na maswali...

sijajua hizi gruop zikoje koje

Zina mahusiaono. Kuna impossible combination za damu kati ya baba , mama na mtoto. Madaktari tufafanulieni.
 
Back
Top Bottom