Sio kila mwanaume 'anaibiwa' mtoto

Sio kila mwanaume 'anaibiwa' mtoto

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,320
Reaction score
117,675
Nimesoma thread ya Wiyelele anatafuta msaada wa nini afanye ampate mtoto wake aliezaa na mke wa mtu..imenishangaza jinsi wanawake wengi walivyomtaka 'asamehe na kusahau' inavyo onekana kwa wanawake wengi wanaona 'mtoto anaweza kulelewa na baba yeyote' tu so kwa wanawake mtoto anaweza mbambikia yoyote............ukweli ni kwamba sio easy kiasi hicho...binadamu tupo tofauti saana

mtoto wa nyoka sio rahisi kulelewa na panya.....na akakua tu vizuri...ni lazima ..mtoto wa simba hawezi kulelewa na swala na kusiwepo na 'effects' zozote...lazima ama mtoto atagundua kitu na kujiuliza au kutakuwepo na 'disconnection' kubwa sana....itakayo muathiri mtoto....na wengine ashindwe kukua vizuri...

so kwa wanawake wengi wanao fikiri ni rahisi ;kubambika' mtoto kwa mtu mwingine ni vema wakajua hili jambo ni zito kuliko mnavyo fikiri....hupelekea mtoto kutomsamehe na kumchukia mama yake....biological parents wana 'nguvu' kuliko mnavyo fikiria....

huwezi chukua mtoto wa Kiranga au Nyani Ngabu ukambambikia Boflo halafu mtoto asije kujiuliza na kujishangaa alivyo tofauti na baba yake na mwisho akigundua unampa mtoto 'traumatic experience'...

ni bora juhudi zote zifanyike watoto wawajue baba zao halisi wakiwa wadogo ili ajijue kuwa why yuko jinsi alivyo.......

wanawake 'msithamini sana ndoa' kuliko well being za watoto mnao claim kuwapenda

ukishalikoroga ulinywe .....
 
Last edited by a moderator:
Wengi huwa wanaongozwa either na hasira uwezo mdogo wa kufikiri kwa mawanda. Kiukweli hapa ule msemo ka damu ni nzito kuliko maji huwa kanaaply. Mtoto akikua lazma ipo siku atagundua ukweli na atataka kwenda kwa baba harisi. Sanasana unakuwa umemuongezea mzigo baba wa kambo kulea mtoto ambae si wake ilihali mwenye mtoto yuko tayari kumlea.
 
Kawaida ya wanawake wote tukishatendwa na mwanaume aliyekupa mimba huwa tuna hasira sana na chochote tunaweza kuamua ila ukweliii ubaki tu kila mtoto anayo haki kisheria kumtambua baba yake mzazi hata Kama alimkana mtoto

Hasira isiondoe busara.....huwezi liambia dafu baba yako ni ndizi....kutakuwa na kitu hakiko sawa
 
wewe unafikiri ukibambikiwa utajua ndugu? wanawake wanameza siri wewe, ukute hata hakokatoto kako unakokapenda sana wala siyo kako biologically!!

Ndo maana nikasema sio kila mwanaume
wapo wanaoibiwa hawajui but wengine huwa wana kama sixth sense hivi
au strong connection.....labda Pasco aje atusaidie.....

kuna mzee alibambikiwa mtoto.....mtoto wacha augue hadi kuhitaji damu..ikakutwa damu ya baba sio ya mtoto
gruop tofauti hadi baba akajua huyo mtoto sio wake kabambikiwa
 
kwani groupe ya ddamu lazima iwe sawa baba na mtoto?!!
 
Blood group ina uhusiano na mtoto ni wa nani?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu The Boss,

Hii mada siyo rahisi kiasi hicho. Lazima mtu apime vizuri matokeo ya kujaribu kuweka wazi suala la baba wa mtoto au mtu kudai mtoto aliyemzaa na mke wa mtu.

I would rather consider the baby lost than making an attempt to claim him. Better commit one sin!
 
Last edited by a moderator:
kwani groupe ya ddamu lazima iwe sawa baba na mtoto?!!

sijui for sure but mtoto akiwa na group tofauti kabisa mfano gruop 0 wakati hakuna mwingine kwenye familia mwenye group hilo lazima tu kutakuwa na maswali...

sijajua hizi gruop zikoje koje
 
Mkuu The Boss,

Hii mada siyo rahisi kiasi hicho. Lazima mtu apime vizuri matokeo ya kujaribu kuweka wazi suala la baba wa mtoto au mtu kudai mtoto aliyemzaa na mke wa mtu.

I would rather consider the baby lost than making an attempt to claim him. Better commit one sin!

What if mtoto akijua na kukutafuta? utammwambia rudi hukohuko?
 
Alichofanywa wiyelele na huyo mke wa mtu hakikubaliki. Wote walifanya uwendawazimu. Wakati wanatafuta kumimbana walikubaliana baadae wiyelele adai mtoto????? Au ikikuwa ni kutoa sperm zake tu????

Je ana uhakika mtoto ni wake au amebeba tu maneno ya kwenye mahaba? Ana uhakika gani kama mwanamke hakuwa ameshamimbishwa tayari na mumewe as wanalala wote kila siku?

Na wanawake nao wanawaza nini? Au ndo kuendeshwa kwa nguvu za mahaba?

Kama kaamua kuclaim mtoto all the best ila awe tayari kukabiliana na lolote litakalokuja mbele yake.
Mambo mengine ni hatari za kujitakia kwa wote 4!!!!
 
Baadhi ya kina mama wengi wana siri nzito sana juu ya watoto katika ndoam wengi wao utakuta watoto sio wa mume husika either alichepuka au aliamua tu kutokana na sababu zake, akazaa na jamaa mwingine. Kina baba wengi hulea watoto wasio wao ila ndo hivyo methari zetu kitanda hakizai haramu. Tatizo hutokea pale aliyempa mimba akikomalia mtoto, jua huyo mama hana ndoa. So wengi wanaume wa nje huamua kusamehe watoto wao, ili kuficha hiyo siri.
 
Hasira isiondoe busara.....huwezi liambia dafu baba yako ni ndizi....kutakuwa na kitu hakiko sawa

Yeah na wanawake wengi tunasema tuna mapenzi ya dhati Kwa watoto wetu ila ukweliii kma unampenda mtoto mueleze mtoto ukweliii wote kuhusu baba yake yeye ndio muamuzi kumpenda au kumchukia
 
Back
Top Bottom