Sio kila mwanaume 'anaibiwa' mtoto

Sio kila mwanaume 'anaibiwa' mtoto

Kufunga mdomo ni well being kuliko kusema...imagine ukisema ni wangapi watakuw affected?
Kumbuka kuna na watoto wengine kwenye familia zote mbili...
Bora akijua ukubwani amepata malezi ya 'familia'
Na inabaki yeye ku deal na situation...
Na kama hakupata manyanyaso alipo wala hawanaga vinyongo...wanaelewa kwani wanakuwa wameshakuwa watu wazima...

Nimekubali sehemu moja kwa asilimia 100% (nime quote chini)...

'msithamini sana ndoa' kuliko well being za watoto mnao claim kuwapenda
 
Kufunga mdomo ni well being kuliko kusema...imagine ukisema ni wangapi watakuw affected?
Kumbuka kuna na watoto wengine kwenye familia zote mbili...
Bora akijua ukubwani amepata malezi ya 'familia'
Na inabaki yeye ku deal na situation...
Na kama hakupata manyanyaso alipo wala hawanaga vinyongo...wanaelewa kwani wanakuwa wameshakuwa watu wazima...

Kujua ukweli ukubwani ni mbaya zaidi kwasababu mhusika ataanza kuhoji maisha yake yote na kujiona kama alikuwa anaishi maisha ya uwongo. Imagine unakuja kugundua Baba,dada na kaka zako siyo ndugu wa karibu kama ulivyokuwa unadhani kwa miaka yote hiyo. Kwa kifupi kitendo kibaya (kuzaa nje ya ndoa) akizai jema .
 
The Boss, hata elementary biology haielezi kwamba kuna ulazima wa damu ya mtoto anayezaliwa kuwa kundi moja na ya baba au mama. Mtoto anaweza kuwa na damu ya kundi tofauti na na wazazi wake. Kinachotakiwa kufanana ni vinasaba (genes). Kama umesoma mambo ya 'phenotype' na 'genotype' nadhani utanielewa vizuri sana. Kwa maana hii basi, ili kujua mtoto ni wako au sio wako, kinachopimwa ni 'genes' (vinasaba) na sio aina ya damu (blood group). Kipimi cha vinasaba kinaweza kufanya hata kwa kutoa nywele au kucha tu za wahusika, na damu isihusike kabisa.

Nafikiri mkuu Dark City katoa ufafanuzi mzuri kuna blood group zina raise questions ...
kwenye kesi ya huyo mzee blood group ili raise questions na mwisho mama akakiri kuhusu huyo mtoto....
sio kwamba thru blood group ndo alipata ukweli....
 
Last edited by a moderator:
ROHO IMENIUMA SANAAAA KUONA UNAMUITA MTOTO MDOGO KAMA Mentor AFU UNANIACHA MIMI 40YRS OLD VIRGIN! Au sababu sijazaa ndo maana umenifanyia hivo? Nimesikitika sanaaa!
hahaa chunguza vizuri utaona nime mention wanaume watupi kasoro wake zangu Kaunga na nyumba kubwa.....so next time utakuwepo hii ilikuwa ina sababu
 
Last edited by a moderator:
Mkuu, uliloliandika hapo ndo kinanisukuma kufanya jitihada ili kila kondo wangu arudi katika himaya yangu. Nikweli haya niliyoyafanya yalikua na msukumo fulani wa kishetani ila mtoto wako ni wako hata iweje. Inaumiza sana kuona mtoto analelewa na mtu ambae sio baba yake. Nadhani ni bora kujua mapema kuliko mtoto akikua maana watu husema tibu majeraha mapema. Nimefarijika kuona kwamba kuna watu kama wewe ambao wanamtazamo chanya. They think beyond the imagination. Such thinking is greater than the ordinary knowledge that one acquires through learning.

mkuu pole sana
i understand your pain...

ni kama simba uone mwanao analelewa na swala na wanam convince hayuko normal
wanamshawishi ajione 'mkosefu' kwa na tabia za simba.....ina uma saana
watoto wana vitu ambavyo kwa kuwatazama wazazi halisi ndo wanaji discover walivyo

mtoto wa nyoka akilelewa na jongoo ni kumtesa huyo mtoto kiaina
itokee bahati mbaya kama kifo kinahusika
 
Blood group inaweza kusaidia katika situation fulani fulani tu. Kuna table inaonyesha blood za wazazi na possilities ya blood group ya mtoto. Ikiwa nje ya hapo inakuwa dhahiri mtoto ni wa nje. Kwa upande mwingine, inakuwa vigumu kugundua ikiwa by coincidence blood group ya mchepuko wa mama na mumewe ni hiyo hiyo! Ni rahisi kupata hizo blood combination kwenye Google.

Funga kazi itakuwa DNA tu. Takwimu kwa mkemia mkuu wa serikali zinaonyesha kuwa katika kesi zinazopekwa kule kuhusu issue au mashaka ya kubambikiwa zaidi ya 40% wanakuwa wamebambikiwa! Ni kazi kweli na huwa wanafanya ushauri nasaha maana watoto huathirika sana kisaikologia kuja kugundua kuwa kumbe baba ni mwingine au kama ni yeye kwa nini alimtilia mashaka.

mkuu asante kwa maelezo Idimi naamini umeona hii post
 
Last edited by a moderator:
1. mimi leo akajitokeza mtu huko akasema mimi ni mwanaye...nitamchoma kisu! I am happy with the man I have grown up calling 'dad'...

2. Si kweli kuwa mtoto asiye wako hawezi kulelewa na baba mwingine na akawa perfect. SI KWELI KABISA. Huo ufananisho wa simba kumlea swala hauapply kwa case ya binadamu asilani. Ndiyo maana tumeishi na mtoto wa mama yangu mkubwa (R.I.P) tangu akiwa na miezi minne..tumemwita kaka...(baba yake hajulikani)...amekuwa a better man kuliko hata sisi...ACHA KUPOTOSHA UMMA BWANA The Boss

3. Cases kama hizi huwa hazina a general answer. kamwe usijaribu ku-generalize haya makitu ya MMN (mahusiano, mapenzi na ndoa). huwa hayana jibu moja

Tazama thread nimesema 'sio kila mwanaume' na sijasema wanaume wote

point kubwa hapa ni kuwa kwa wengine haya mambo ni mtihani mkubwa
mtihani kwa mtoto na mtihani kwa wazazi

kwako imetokea kuwa 'hakuna tatizo' basi shukuru Mungu

kuna mdau kataja mambo ya spiritual inheritence

kuna watoto anzaliwa baba mkristo na mama kristo.......halafu kumbe baba halisi ana damu za
'masharifu wa bagamoyo' uliza uambiwe waliyo kutana nayo hadi wakawatafuta 'baba zao halisi'

kuna a lot we don't know.......ndo maana nimesema kwa ufupi...
mtoto wa jongoo akilelewa na nyoka kuna kitu kinajitokeza

yawezekana wewe ni chui uliolelewa na simba..usione tofauti....
 
Ndo maana nikasema sio kila mwanaume
wapo wanaoibiwa hawajui but wengine huwa wana kama sixth sense hivi
au strong connection.....labda Pasco aje atusaidie.....

kuna mzee alibambikiwa mtoto.....mtoto wacha augue hadi kuhitaji damu..ikakutwa damu ya baba sio ya mtoto
gruop tofauti hadi baba akajua huyo mtoto sio wake kabambikiwa

Blood group kuwa tofauti na ya baba siyo ishu yawezekana mtoto alichukua ya mama. Ila kama group ya mtoto haikufanana na ya wazazi wote hapo ndo tunaeza weka shaka mkuu
 
Last edited by a moderator:
hahaa chunguza vizuri utaona nime mention wanaume watupi kasoro wake zangu Kaunga na nyumba kubwa.....so next time utakuwepo hii ilikuwa ina sababu

Age is nothing but a number people should know!

Tazama thread nimesema 'sio kila mwanaume' na sijasema wanaume wote
I AGREE!

point kubwa hapa ni kuwa kwa wengine haya mambo ni mtihani mkubwa
mtihani kwa mtoto na mtihani kwa wazazi

kwako imetokea kuwa 'hakuna tatizo' basi shukuru Mungu

kuna mdau kataja mambo ya spiritual inheritence

kuna watoto anzaliwa baba mkristo na mama kristo.......halafu kumbe baba halisi ana damu za
'masharifu wa bagamoyo' uliza uambiwe waliyo kutana nayo hadi wakawatafuta 'baba zao halisi'

kuna a lot we don't know.......ndo maana nimesema kwa ufupi...
mtoto wa jongoo akilelewa na nyoka kuna kitu kinajitokeza

yawezekana wewe ni chui uliolelewa na simba..usione tofauti....

Wahenga pia walisema, "Usilolijua ni sawa na usiku wa giza" na kuna nyingine nimesahau inaanzaje ila mwishoni ni, "..halitokudhuru"

Hawakukosea.
 
this topic is so wide & complicated, it also depends on the situation,wakati mwingine inaweza kuwa bora wafahamiane wakati mtoto nae kapata akili zake
 
Ndio maana kule kwetu ukizaa na mke wa mtu unachukuliwa kuwa wewe ni pimbi tu na huna haki yoyote ya kudai au baba labda kama unatafuta kwenda kwa sir God mapema.
 
But the boss kumbuka hiyo mtoto the way alivyopatokana! Hakukuwa na mkataba wa hiyo hawara na mke wa mtu! Pia wahenga walisema kitanda hakizai haramu
 
You got that one right Bossman!

The apple doesn't fall far from the tree.
Hahaaa...hata mm nimeshangaa vp The Boss ameweza ku relate kwa mfano sawia.... Mpaka ss hv naona kama ndoto ni kweli N.N au fake...,(najua ni kweli but ngumu kuamini) Anyway ni pm namba ya mzenji wako nimsabahi
 
Last edited by a moderator:
Hahaaa...hata mm nimeshangaa vp The Boss ameweza ku relate kwa mfano sawia.... Mpaka ss hv naona kama ndoto ni kweli N.N au fake...,(najua ni kweli but ngumu kuamini) Anyway ni pm namba ya mzenji wako nimsabahi

Ahahahahahaaaa Boflo hufai kabisa wewe.

Vipi, Mzenji anahusika eeh? Yule mwenzake vipi?
 
Kuna clip moja nimeiona majuzi mwanamke alikuwa na tabia ya kumtukana mumewe 'kwanza watoto wenyewe si wako'

Kumbe watoto huwa wanasikia...tena inawauma sababu wakati mwingine wanakuwa wapo na washikaji zao wao wana gombana room...

Wakaamua kukata mzizi wa fitina wakaenda kupima DNA (kipindi kuinaitwa paternity court) ...
Huwezi amini watoto wote si wa huyu baba na wana miaka 20 plus...wako wawili...

Yani clip inaliza aisee...watoto wamechanganyikiwa...wanalia 'you are my dad' na baba naye anasema 'you are my son/daughter' acheni kabisa...kuna wamama wasiri jamani...

Ntaweka link humu kama ntaweza...

Kuna mtu ameandika 'the worst mum of the year!' yani kachiti afu anatumia watoto kumtusi mumewe...

Hii hapa

https://www.youtube.com/watch?v=ysrFruJRwBc
 
the worst mum for sure...
 
Back
Top Bottom