Nimesoma thread ya
Wiyelele anatafuta msaada wa nini afanye ampate mtoto wake aliezaa na mke wa mtu..imenishangaza jinsi wanawake wengi walivyomtaka 'asamehe na kusahau' inavyo onekana kwa wanawake wengi wanaona 'mtoto anaweza kulelewa na baba yeyote' tu so kwa wanawake mtoto anaweza mbambikia yoyote............ukweli ni kwamba sio easy kiasi hicho...binadamu tupo tofauti saana
mtoto wa nyoka sio rahisi kulelewa na panya.....na akakua tu vizuri...ni lazima ..mtoto wa simba hawezi kulelewa na swala na kusiwepo na 'effects' zozote...lazima ama mtoto atagundua kitu na kujiuliza au kutakuwepo na 'disconnection' kubwa sana....itakayo muathiri mtoto....na wengine ashindwe kukua vizuri...
so kwa wanawake wengi wanao fikiri ni rahisi ;kubambika' mtoto kwa mtu mwingine ni vema wakajua hili jambo ni zito kuliko mnavyo fikiri....hupelekea mtoto kutomsamehe na kumchukia mama yake....biological parents wana 'nguvu' kuliko mnavyo fikiria....
huwezi chukua mtoto wa
Kiranga au
Nyani Ngabu ukambambikia
Boflo halafu mtoto asije kujiuliza na kujishangaa alivyo tofauti na baba yake na mwisho akigundua unampa mtoto 'traumatic experience'...
ni bora juhudi zote zifanyike watoto wawajue baba zao halisi wakiwa wadogo ili ajijue kuwa why yuko jinsi alivyo.......
wanawake 'msithamini sana ndoa' kuliko well being za watoto mnao claim kuwapenda
ukishalikoroga ulinywe .....