Sio kila mwanaume 'anaibiwa' mtoto

Sio kila mwanaume 'anaibiwa' mtoto

Ni ngumu sana kujua kama mtoto si wako hasa akifanana na mama yake.

Hamna cha sixth sense wala nini sababu hakuna kitu ambacho kitakufanya uanze kuwaza kuchunguza kama ni wako maana mtakuwa mnaishi vizuri na mke na watoto,unless litokee tukio ambalo lipelekea uwe suspicious otherwise mtaishi miaka yote bila mume kujua.

Possibility za kutokea a suspicious event nazo ni ndogo sababu utakuwa una muamini mke kwahiyo mambo kama haya hata kuya fikiria nafsini mwako utaona ni kufulu.

Binafsi sioni faida ya jamaa kumtaka mwanae.Ukiangalia vizuri hasara ni kubwa mno kuliko faida,yani atakuwa ana jiongezea dhambi ya pili sababu atafuruga hizo familia na kusababisha mpasuko mkubwa sana,bora apotezee tu.

Ni rahisi sana.. yaani kwa baba ukikaa ukaangalia watoto wako utagundua tu kama kuna tatizo.. yaani kuna features, tabia utagundua sio. Pia group za damu ni lazima zifanane kwa mama au baba. Sasa ukikuta hamna kabisa kati yako na mkeo , lazima ujiulize..
 
Ha ha ha, lini umeingia timu ya makavu live?

Haya mambo ya mtoto wa nje/ndani ni ya kimtazamo zaidi. Kuna watu wanaona watoto wa nje kama laana, bila kujua historia zao wenyewe. Tena zamani ilikuwa kama imehalalishwa, mume kama hazai ukoo unamshurutisha mama kuficha siri ya ukoo kwa kuzaa na mtu mwingine, na baba wanawakubali kama wake.


Pasco kaeleza vizuri sana...tena wamama wa zamani ndio walikuwa noma kwenye suala la kuzaa nje...
Bora wa sasa ambapo familia ina watoto 2...
Mimi nimeishi na jirani zangu kadhaa wakiwa na watoto wa nje na wala si siri na hakuna alokuwa anajua baba zao...

Nashangaa vijana wanalia lia humu eti kama yamekuwa haya mi sioi...wakati wenyewe hapo walipo si ajabu watoto wa nje...
 
Halafu kuna wanaume wanalandisha watoto wao hadi balaa. Ukiibuka na mtoto tofauti dunia itajua kesho yake. Ila kama kuna kitu kinatuchanganya wabongo ni mambo ya MUM. Ni bahati mbaya sana most of the time wanawake wanakuwa victims kwasababu ya emotion zao.
 
keta ipyana lya kyala bhalinga lilino bhafwile; bhalinga bhalambalele ifitala bhabhine kangi bhalinga bapaigwe bhalinifilundi fyosa na bhikuenda bhikwufuna bhalinga batukuketa amaso bhalinga bhatukupilika loli ugwe kyala akupele ubhumi nu bhukafu mshukuru Mungu
 
Halafu kuna wanaume wanalandisha watoto wao hadi balaa. Ukiibuka na mtoto tofauti dunia itajua kesho yake. Ila kama kuna kitu kinatuchanganya wabongo ni mambo ya MUM. Ni bahati mbaya sana most of the time wanawake wanakuwa victims kwasababu ya emotion zao.

Kweli kabisa. MMU ni sector ngumu na nyeti sana kiasi kwamba watu wanaojidai kutoguswa wanaficha vichwa kwenye mchanga kama mbuni.
 
Mhhh sijui nimechelewa..ila mkuu The Boss...refer jibu langu kule kwa wiyelele!

We njoo tu u-claim mwanao, SHOKA LITAKUHUSU..!

Hilo nalo neno, ila sio vizuri mtu kulea mtoto ambae sio wake. Ili kukomesha michepuko, nadhani iwapo kila mwanaume anajua ana mtoto mahali fulani, bora aanzishe jitihada za kumchukua akae nae mwenyewe na itawafanya wanawake kuondokana na michepuko iwapo wapo kwenye ndoa halali.
 
Response ya wengi wetu ili-base kwenye matokeo ya ya hayo madai yenyewe. Chukulia hali ya kawaida tu, bila suala la mtoto kuwepo, hivi ni mwanaume gani atakayemuelewa bwana Wiyelele kwa habari ya kutembea na mkewe? Halafu baadaye na mtoto juu! Hili suala huwa 'tunalaliwa' wanawake tu kuwa shetani aliwaghilibu mnaleta mtoto nyumbani analingana umri na mtoto wetu wa pili! Ni wanaume wachache sana wanaoweza kulibeba hilo tena kwa busara ya hali ya juu. Mentoryeye anasema risasi au shoka ndio ingekuwa halali ya mwizi wake.

Sasa basi, kama wewe na mwenzako mlijua matokeo ya 'mishe' zenu, basi na muendelee kukaa kimya, siyo saa hizi ndio mtoe madai kuwa mtoto wako hawezi kulelewa na mtu mwingine. Tatizo tu ni kuwa hamna siri ya watu wawili hata siku moja, ndio maana huyo mtoto ataja jua kuwa analelewa na baba mlezi, vinginevyo, lingepita kimya tu. Na hivyo hana mtoto wa kike, tusubiri tu kusikia post nyingine kuwa amekoswa koswa shoka...
 
Last edited by a moderator:
Nimesoma thread ya Wiyelele anatafuta msaada wa nini afanye ampate mtoto wake aliezaa na mke wa mtu..imenishangaza jinsi wanawake wengi walivyomtaka 'asamehe na kusahau' inavyo onekana kwa wanawake wengi wanaona 'mtoto anaweza kulelewa na baba yeyote' tu so kwa wanawake mtoto anaweza mbambikia yoyote............ukweli ni kwamba sio easy kiasi hicho...binadamu tupo tofauti saana


mtoto wa nyoka sio rahisi kulelewa na panya.....na akakua tu vizuri...ni lazima ..mtoto wa simba hawezi kulelewa na swala na kusiwepo na 'effects' zozote...lazima ama mtoto atagundua kitu na kujiuliza au kutakuwepo na 'disconnection' kubwa sana....itakayo muathiri mtoto....na wengine ashindwe kukua vizuri...

so kwa wanawake wengi wanao fikiri ni rahisi ;kubambika' mtoto kwa mtu mwingine ni vema wakajua hili jambo ni zito kuliko mnavyo fikiri....hupelekea mtoto kutomsamehe na kumchukia mama yake....biological parents wana 'nguvu' kuliko mnavyo fikiria....


huwezi chukua mtoto wa Kiranga au Nyani Ngabu ukambambikia Boflo halafu mtoto asije kujiuliza na kujishangaa alivyo tofauti na baba yake na mwisho akigundua unampa mtoto 'traumatic experience'...

ni bora juhudi zote zifanyike watoto wawajue baba zao halisi wakiwa wadogo ili ajijue kuwa why yuko jinsi alivyo.......

wanawake 'msithamini sana ndoa' kuliko well being za watoto mnao claim kuwapenda

ukishalikoroga ulinywe .....

Mimi mwanangu akizaliwa lazima tufanane dot jeusi juu ya ---- ni alama ya ukoo wetu akimisi tuu mama watoto ataeleza
 
Last edited by a moderator:
He he he, chezea pasco, huyo ni vere kalkulative.

Cheupe dawa wa kike hawezi mkana, mahari anayoisubiria hapo labda ng'ombe 30, ataua mtu.

acha mi nivamie nikakachukue kabinti kangu , kumbe jamaa ameangalia mbali hivi!!!
 
Nimesoma thread ya Wiyelele anatafuta msaada wa nini afanye ampate mtoto wake aliezaa na mke wa mtu..imenishangaza jinsi wanawake wengi walivyomtaka 'asamehe na kusahau' inavyo onekana kwa wanawake wengi wanaona 'mtoto anaweza kulelewa na baba yeyote' tu so kwa wanawake mtoto anaweza mbambikia yoyote............ukweli ni kwamba sio easy kiasi hicho...binadamu tupo tofauti saana


mtoto wa nyoka sio rahisi kulelewa na panya.....na akakua tu vizuri...ni lazima ..mtoto wa simba hawezi kulelewa na swala na kusiwepo na 'effects' zozote...lazima ama mtoto atagundua kitu na kujiuliza au kutakuwepo na 'disconnection' kubwa sana....itakayo muathiri mtoto....na wengine ashindwe kukua vizuri...

so kwa wanawake wengi wanao fikiri ni rahisi ;kubambika' mtoto kwa mtu mwingine ni vema wakajua hili jambo ni zito kuliko mnavyo fikiri....hupelekea mtoto kutomsamehe na kumchukia mama yake....biological parents wana 'nguvu' kuliko mnavyo fikiria....


huwezi chukua mtoto wa Kiranga au Nyani Ngabu ukambambikia Boflo halafu mtoto asije kujiuliza na kujishangaa alivyo tofauti na baba yake na mwisho akigundua unampa mtoto 'traumatic experience'...

ni bora juhudi zote zifanyike watoto wawajue baba zao halisi wakiwa wadogo ili ajijue kuwa why yuko jinsi alivyo.......

wanawake 'msithamini sana ndoa' kuliko well being za watoto mnao claim kuwapenda

ukishalikoroga ulinywe .....

Nimekubali sehemu moja kwa asilimia 100% (nime quote chini)...

'msithamini sana ndoa' kuliko well being za watoto mnao claim kuwapenda
 
Last edited by a moderator:
Hilo nalo neno, ila sio vizuri mtu kulea mtoto ambae sio wake. Ili kukomesha michepuko, nadhani iwapo kila mwanaume anajua ana mtoto mahali fulani, bora aanzishe jitihada za kumchukua akae nae mwenyewe na itawafanya wanawake kuondokana na michepuko iwapo wapo kwenye ndoa halali.

Unatamani kukomesha michepuko kwani imeanza leo?

Wewe kubali yaishe!
 
Hilo nalo neno, ila sio vizuri mtu kulea mtoto ambae sio wake. Ili kukomesha michepuko, nadhani iwapo kila mwanaume anajua ana mtoto mahali fulani, bora aanzishe jitihada za kumchukua akae nae mwenyewe na itawafanya wanawake kuondokana na michepuko iwapo wapo kwenye ndoa halali.

1. mimi leo akajitokeza mtu huko akasema mimi ni mwanaye...nitamchoma kisu! I am happy with the man I have grown up calling 'dad'...

2. Si kweli kuwa mtoto asiye wako hawezi kulelewa na baba mwingine na akawa perfect. SI KWELI KABISA. Huo ufananisho wa simba kumlea swala hauapply kwa case ya binadamu asilani. Ndiyo maana tumeishi na mtoto wa mama yangu mkubwa (R.I.P) tangu akiwa na miezi minne..tumemwita kaka...(baba yake hajulikani)...amekuwa a better man kuliko hata sisi...ACHA KUPOTOSHA UMMA BWANA The Boss

3. Cases kama hizi huwa hazina a general answer. kamwe usijaribu ku-generalize haya makitu ya MMN (mahusiano, mapenzi na ndoa). huwa hayana jibu moja
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom