nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,398
Hayo mambo ni magumu...
Ukimwambia ukweli manake na huyo mume (baba mlishi) naye unamwambia ukweli au? Na ndoa inaendelea au? Ikivunjika je kuna faida gani hasa kwa watoto wengine?
Mi naona heri kukaa kimya...labda libubumburuke tu...tena kuna watu hawawaambii hata waliozaa nao...maana wanaume wana viherehere...hawakawii kudai mtoto bila kujua hatma yako...

Sawa sawa na mama yake na baba yake halisi
hata kama wanaishi mbali mbali
ninachopinga ni kumuaminisha mtoto baba wake wa kambo ndo baba yake halisi