ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 23,580
- 56,799
Kuna watu hela yao wanaichungulia Sana mtu anaenda sokoni kununua vitu ila anashika shika Sana Mimi sinaga pigo hizo yaani nachoamini vitu vyote kavileta Mungu na kila kitu NI chema na kila mtu anastahili riziki hiyo hiyo so hata nikiwa nanunua mihogo me namwambia Tu niwekee yoyote.unawazaje kwamba kitu Fulani kina kasoro me kwangu vyote poa Tu kisiwe Tu kibovu.