Simu Janja (Smartphone) 19 bora zinazokaa na chaji muda mrefu

Simu Janja (Smartphone) 19 bora zinazokaa na chaji muda mrefu

Hahaha mkuu ila lazima tujiulize mataifa makubwa yenye uchumi mkubwa kwa nchi na kwa mwananchi mmoja mmoja simu kama hizo za mitekno inapigwa ban lakini sisi waafrika na huku bongo ndio tunatumiwa tuzitumie
Maswali ambayo mtu yeyote anayetumia hizo tecno hajibu,tangu page ya 1 hakuna alojibu.
Tecno users are the friend of culture gal[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu wa tecno mmeshindikana tekno sio simu nchi zingine zinapigwa ban ya kutisha ila makombo mnaletewa nyie ...niambie ulishaenda marekani ukakuta mtu anatumia tecno na itel zenu hizo
 
Aise embu waelezee mana inavyotetewa nimewaambia haiko katika soko la dunia hawanielewi
Kabadili heading halafu urudi, wengi humu tumeshatumia hzo simu za kuuzia sura ila ukweli ndo huo huenjoy, simu nzuri haikai na chaji ,kwanini nisitumie tecno ina kila kitu nachotaka na chaji haiishi hadi nakwenda kitandani?
 
Hata hii yangu hivyo hivyo, simu nyingine ikishatoa alarm ya 15% remaining huwezi toboa nusu saa haijazima. Ila kwa mnyamakazi Sony unaweza kuchat na kupokea simu kawaida na haizimiki hadi unapoifikia socket nyumbani.
Mie ikiwa na 15% bado nakua sina wasiwasi kwakweli.
Kama unazima na data ndo utasahau kabisa
 
Hahahah L8 si ina reverse charging ile ni power bank unaweza mpunguzia mwenye samsung charge.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
IMG_20171218_120420.jpg
 
Samsung Galaxy A3 betry capacity ni 1900mAh wakati Samsung Galaxy Grand Prime + betry capacity ni 2600mAh utasemaje Galaxy A3 inakaa na chaji zaidi ya Grand Prime +!?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] huyo jamaa kagushi nakuletea takwimu feki wakati hapa nina Samsung J5 prime 2016 moto inakaa zaidi ya masaa 16 hapo nimefungua net
 
Back
Top Bottom