SDG
JF-Expert Member
- Feb 28, 2017
- 7,631
- 8,076
Nazielewa sana Sony,Hahaha tumefanyaje mkuu, halafu kwa taarifa yako natumia Sony xperia C3 dual. Google battery perfomance ya hio simu ndio utaelewa namaanisha nini
Natumia Z3 iko powa had 1% naandika sms na kupiga simu