Simu Janja (Smartphone) 19 bora zinazokaa na chaji muda mrefu

Simu Janja (Smartphone) 19 bora zinazokaa na chaji muda mrefu

Tatizo watz mnapenda kuchanganya vitu,hyo brand yenu pendwa siyo level hizi na mkitaka ulinganisho msubir level zenu za chini
 
Bila tecno hii mada hainogi hahaaa uwiii
Kweli kabisa. Maana kuna Tecno L9 plus power betri yake ina mAh 5000 wakati hiyo
Bila tecno hii mada hainogi hahaaa uwiii
Kweli kabisa. Maana kuna Tecno L9 plus power betri yake ina mAh 5000 wakati hiyo Samsung galaxy S8 ina mAh 3000, S8 plus ina mAh 3500. Au wanaangalia majina ya makampuni au alifanya utafiti kwenye hizo simu? Afanye utafiti upya ndo atuletee.
 
Wewe huo utafiti wako umeufanyia mtandaoni ila haujakaa na kutafiti sim zenyewe kabisa.

Umeshawahi kutumia Infinix?! Me nilishawahi kutumia infinix hot 4, hii sim huwa inakaa na chaji na alarm ya low battery inapiga baada ya masaa 48 kwa maana ya siku mbili kama ukiwa unawasha dadta kusoma text tu za whatsapp kisha unazima.

Ukipiga sim kuongea mfululizo mimi huwa naongea sim muda mwingine hata masaa manne mfululizo, ila ukija kutazama asilimia zimeganda pale pale.

Sitaki kusifia sana. Hii ni miongoni mwa sim smartphone nafuu sana ila kiukweli inaridhisha na kurejesha thamani ya pesa uliyotumia kuinunulia.

Kama unahisi ni porojo nakuruhusu agizia sim yako ya infinix now halafu uje kutoa ushuhuda. Hizo umetaja hapo nyingi hazina uwezo wa kukaa na battery muda mrefu sababu vitendea kazi vyake vina consume umeme mwingi sana wakati inatumika.
Na hata ukubwa wa betri wa hizo simu alizozitaja ni mdogo.
 
Bado huzijui Sony Xperia Z2 from the box ingetosha kukunyamazisha kabisa.
Nshatumia T, Z,C,M na sasa najipanga kuhamia kwenye X. Sony wapo vizuri kwa utunzaji wa charge
Nazijua ndo maana nimekuambia kuhusu hilo toleo maridhawa kabisa na nakuambia katika simu zoote za sony hakuna simu ka Sony x itafute utaniambia,hayo ma z yote ni bure kabisa
 
Wabongo tunapenda sana vitu vya bei chee "Vitonga" ila madhara ni makubwa kwa sababu vingi havina ubora.

Mfano tecno inakotengenezwa hawaitumii, nafananisha na madawa ya kuongeza chura ya wachina.
Kama wewe ni mtaalamu wa hardware basi tecno imetengenezwa kwa hardware mbovu na za low quality mf SoC na components nyingine hazina maana hivyo inakula umeme kidogo.
Sasa utakuja kushindanishaje na brand zilizokubuhu kwenye teknolijia kama apple, samsung, nokia, microsoft lumia n.k. Vifaa vyao ni vya ubora wa hali ya juu na ni salama na vimekaguliwa kimataifa na wataalamu mbalimbali.

Tecno GSMArena tuu hawapo halafu mnakuja kutokwa povu hapa.
Mna uelewa mdogo na haya mambo hivyo sio makosa yenu.
 
Dah aise mkuu mimi mwenyewe nimeshindwa kuwaelewesha hahaha
 
Back
Top Bottom