Simu Janja (Smartphone) 19 bora zinazokaa na chaji muda mrefu

Simu Janja (Smartphone) 19 bora zinazokaa na chaji muda mrefu

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
12,320
Reaction score
11,345
Kuchagua simu haswa hizi za smartphone ambazo zinakaa na chaji muda mrefu yaweza kua mtihani mkubwa kwa watumiaji wa simu, wengi wamekua wakilalamika sana chaji lakini ujio wa power banks umesaidia kwa kiasi fulani lakini bado usumbufu upo pale pale.

Kwa mwaka huu wa 2017 mwezi huu wa Disemba tunazileta kwenu smartphone bora zilizofanyiwa majaribio tofauti mengi ikiwemo kucheza video ndefu zenye ubora wa hali ya juu na majaribio mengine na matokeo ndio haya simu ambazo zilifaulu majaribio hayo ya kukaa na chaji muda mrefu, kwaio fanya kujipatia yako na usisumbue kichwa tena kujua smartphone ipi haitakusumbua chaji

1. LENOVO P2 ( dakika 1730)
lenovo-smartphone-p2-qualcomm-snapdragon-processor-feature-3.png


2. HUAWEI MATE 10 (dakika 1603)
huawei-mate10-pro-1.jpg


3. MOTOROLA MOTO Z PLAY ( dakika 1425)
moto-z-play-blk-row.jpg


4. SAMSUNG GALAXY A3 ( dakika 1405)
8806086535786-1-zoom.jpg


5. SAMSUNG GALAXY A5 ( dakika 1325)
samsung-galaxy-a5-2017-1.jpg


6. SAMSUNG GALAXY NOTE 7 ( dakika 1317)
spiralbinder-2016-18.jpg


7. ONE PLUS 5T ( dakika 1252)

8. ONE PLUS 5 ( dakika 1240)
maxresdefault-1.jpg


9. SAMSUNG GALAXY S8 PLUS ( dakika 1233)
c.jpg


10. MOTOROLA MOTO Z2 PLAY ( dakika 1173)
moto-z2-play-key-feature-1-d-0617.png


11. NOKIA 8 ( dakika 1126)
8162017114310PM_635_nokia_8_back_silver.jpeg


12. SAMSUNG GALAXY S7 EDGE ( dakika 1122)
Samsung-Galaxy-S7-Edge-photos-16-840x560.jpg


13. SAMSUNG GALAXY J5 ( dakika 1106)
samsung-galaxy-j5-2017-sm-j530-1.jpg


14. MEIZU PRO 6 PLUS ( dakika 1086)
meizu-pro-6-plus1.jpg


15. SAMSUNG GALAXY S7 ( dakika 1068)
Pdpkeyfeature-sm-g930azdaatt-600x600-C1-062016.jpg


16. ONE PLUS 3 ( dakika 1016)
OnePlus+3+FRONT+VIEW+IMAGE.jpg


17. APPLE IPHONE SE ( dakika 1006)
2.jpg


18. MOTOROLA MOTO Z2 FORCE ( dakika 1000)
motorola-moto-z2-force-1.jpg


19. GOOGLE PIXEL ( dakika 983 )
HOMzgrElFsYbnCj47ODKoPAyo7ofQnC5NYHqSc_BMvPXtUohHjmEurFmGQLgJB3YgbhX%3Dw1000.png
 
Samsung Galaxy A3 betry capacity ni 1900mAh wakati Samsung Galaxy Grand Prime + betry capacity ni 2600mAh utasemaje Galaxy A3 inakaa na chaji zaidi ya Grand Prime +!?
Kuna attributes zingine kama vile muundo wa components, display efficiency nk. Hivyo vyote huchangia kwenye ukaaji wa chaji
 
Back
Top Bottom